JITATHMINI: Mambo 10 Yanayobainisha Kwamba Una Roho Mbaya

hizo zote ninazo na hamniambii kitu
 

Pesa ndo muhimu, zinaondoa tabia Nyingi Mbaya!
 
Mm if you step into my crib I built I crash that all I know. Is there any problem we that.
 
Nnazo zote na sijali wala nini..!! 😹
 
Ndio ubinadamu wenyewe
 
Bahati mbaya hujawashauri njia au wafanyaje ili kuziacha tabia hizo.Wataishia kuzisoma tu na kuzisahau.
 
Hv roho mbaya inahusiana na makabila?
Kuna mwana pale ofcn ana fall kote ni Muha wa Kigoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…