Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa makongoKwa tuliosoma jitegemee na makongo kipi unakikumbuka then,
Sitowasahau HAWA Col masawe daz Baba, Mr Mimi (R. I. P) jitegemee enzi hizo, makongo nawakumbuka Afande Miraji, hashimu thabeet, Babu. Ayubu nk.
Mr Mimi= Mrimi Mnandi?Kwa tuliosoma jitegemee na makongo kipi unakikumbuka then,
Sitowasahau HAWA Col masawe daz Baba, Mr Mimi (R. I. P) jitegemee enzi hizo, makongo nawakumbuka Afande Miraji, hashimu thabeet, Babu. Ayubu nk.
Mngesoma miaka ya nyuma mngekutana na akina mkisi Ilikuwa ni shida aiseeAfande kumaliga alinitoa nishai siku ya kwanza tu nareport shule, sikuvaa yale masketi yao wanayogawa.
Alikuwa mkali kama Arando au.Mngesoma miaka ya nyuma mngekutana na akina mkisi Ilikuwa ni shida aisee
Arando huyu junior officer ni boya tu kwa mkisi alikuwa ni shida aisee waulize D-knob wanamfahamuAlikuwa mkali kama Arando au.
Jina LA mkisi nimelikuta lakini vilikuwa vinaitwa vile viatu tunavyopewa pale.
Yale maviatu ni mabaya jamani[emoji23]
Afande chacha na miraji wale walikua kiboko ukizngua wanazingua ilikua hatari sana
Babalina ☎ 😡Makongo shule yangu kipingu alipoondoka na shule ikajifia mpaka leo
MamalinaBabalina ☎ 😡
HahahaaaaAlikuwa mkali kama Arando au.
Jina LA mkisi nimelikuta lakini vilikuwa vinaitwa vile viatu tunavyopewa pale.
Yale maviatu ni mabaya jamani[emoji23]