Jitegemee vs Makongo back 2000

Jitegemee vs Makongo back 2000

Kwa tuliosoma jitegemee na makongo kipi unakikumbuka then,
Sitowasahau Hawa Col masawe daz Baba, Mr Mrimi (R. I. P) jitegemee enzi hizo, makongo nawakumbuka Afande Miraji, hashimu thabeet, Babu. Ayubu nk.
Nakumbuka zile gwaride, joro, wakati wa kuingia na kutoka lazima ukimbie....
Afande Miraji (RIP), Mama Mchwampaka, Mr Kombaha, Mr Shija wa linguistics siwez kuwasahau
 
Back
Top Bottom