Director oriflame
New Member
- Mar 7, 2016
- 4
- 1
Oriflame ni nini????
Ni kampuni iliyotokea sweden iloanzishwa kwa lengo la kufanya mauzo ya moja kwa moja.
Ni nini mauzo ya moja kwa moja??????
Maana yake ni kufanya manunuzi kwa bei ya kiwandani iwapo utakuwa mwanachama
hamna anaeuza kwa jumla au reja reja [emoji108]
mfano: kama unanunua maji ya azam basi unanunua kwa bei anayouza mwenyewe mia 350 na sio mi 6 kama tunavouziwa madukani.
Kwanini nijiunge na oriflame[emoji144][emoji144]?nafaidika na nini?
Jiunge na oriflame ili
1.Upendeze/umaridadi: [emoji8][emoji7]
oriflame itakuwezesha wewe kubadilisha muonekano wako kwa kutumia bidhaa asilia zitakazokufanya uonekane maridadi zaidi
Kivipi????[emoji144][emoji144]
Utatumia bidhaa kulingana na mahitaji ya ngozi na mwili wako, kama una ngozi ya mafuta au ya kati na kato au kaavu
Nitajuaje aina ya ngozi yangu?[emoji144]
Oriflame inauza vipimia ngozi vitakavokuwezeshaa kujua aaina ya ngozi yako ama ya mteja wako.
Kuna bidhaa za uso,mwili,vipodozi, perfume za kike na kiume na nyingi nyenginezo
Bidhaa hizi hazina kemikali na ni salama sana kwa ngozi yako
Fursa ya pili ya oriflame ni ipi?
2. kutengeneza pesa[emoji765][emoji387][emoji386][emoji385][emoji389][emoji384]
Oriflame itabadili maisha yako kwa kubadili kipato chako,kivipi?
Iwapo utajiunga na kuwa mwanachama utaweza kutengeneza pesa[emoji386] kwa njia kuu mbili
[emoji818]kununua na kuuza bidhaa kwa watu utapata faida,hii inatokana na kwamba wewe kama mwanachama utaweza kununu vitu kwa pumguzo la asilimia 30% na kuuza kwa bei ilopangwa kwenye kitabu(catalogue)[emoji429][emoji425]
[emoji818]Kutenegeneza mtandao wa watu[emoji128][emoji68][emoji68][emoji65][emoji65][emoji68][emoji68][emoji66][emoji66]:utaweza kipata pesa kwa kuwaunga watu kwenye biashara ya oriflame,unaweza anza na watu wa 5 na wao walete watu wa 5 utakuwa umepiga hatua na utalipwa na kampuni.
Jiulize wewe una watu wangapi?family?ndugu jamaa marafiki majirani?
Washirikishe kwenye fursa hii ambayo mtaji wake ni watu,
fanya hivo uone maisha yatakavobadilika utajishangaa[emoji15] kwann ulikuwa unapoteza mda wako kutafuta ajira au biashara zisizoeleweka kwani oriflame ni fursa tosha na zaidi ya ajira[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Fursa ya tatu na oriflame ni hii hapa
3.kufurahia maisha [emoji133][emoji133][emoji133][emoji133]😱riflame itakupa fursa ya kusafiri[emoji574][emoji585] ndani na nje ya nchi kwa gharama zake na utapatiwa malazi [emoji539][emoji539]na chakula bureee[emoji489][emoji488][emoji523][emoji531][emoji534][emoji525][emoji529],itakuangalia kwa macho mawili tangu unaondok mpk kurudi,
Ss kama una ndoto za kwenda majuu basi hapa ni mahala pekeee.
Usijitupe kwamba ww eti mzee,hujasoma[emoji33],maskini,au mnyonge[emoji32],ama huwezi kuongea na watu
Biashara ya oriflame ni ya watu wooote hata kama ww ni mzee njoo utashangaaa maisha yako yatakavobadilika ,huku mtaji ni watu na sio pesa lete watu ufaidike kwa kujipatia kipato, usafiri ndaji na nje ya nchi na uwe kama kijana.
Hata kama hujasom[emoji433] hata darasa moja na hujui hata kuandika[emoji404] huku utafaidika kwan oriflame haijalishi elimu wala umri wako inahitaji watu wako tu ili ijiendeshe,
Najua wengi mnajua kufanikiwa ni kusoma na kuajiriwa,toka kwenye hayo mawazo potofu[emoji144] kuwa mpya uwe na mtazamo chanya ,waza kujitegemea na utumie watu unaowajua na usiowajua kushirikiana kwenye biashara adimu na pekee ya oriflame.[emoji122][emoji122]
Hujachelewa orifame bado ni changa sana wahi sasa ili uwe muongoni mwa watu wachache wa mwanzo watakajizolea mafedha bila kikomo.
Ungependa kujua zaidi? Na maswali mengi ?
Tuwe pamoja na usisite kuuliza