Jitengezee mchanganyiko wa viungo nyumbani

Jitengezee mchanganyiko wa viungo nyumbani

Hahaha hiyo kimawe huingia kwa bahati mbaya ati....kuna shosti wangu anasema mdalasini wa unga mwengine ati unga wa mbao tu haunukii lol

Yeah ni kweli aisee wengine wanachanganya na poda la mbao yaani Mie viungo halisi nanunua kariakoo kwa Issa na si kwingine
 
GINGER GARLIC PASTE-SAUMU NA TANGAWIZI

Mahitaji

Kitunguu saumu na tangawizi uwiano sawa 200g..

Chumvi kijiko 1 na nusu cha chai..ikaange hadi iwr golden brown (ili mchanganyiko wetu usiharibike)...

Mafuta ya kupikia vijiko 4 vya chai

Namna ya kutaarisha....

Weka vitu vyote katika blenda au food processor saga bila ya kuweka maji....

Saga hadi iwe laini na hifadhi katika chupa ya kigae
 
Attachments

  • 20141208_132942.jpg
    20141208_132942.jpg
    292 KB · Views: 310
GINGER GARLIC PASTE-SAUMU NA TANGAWIZI

Mahitaji

Kitunguu saumu na tangawizi uwiano sawa 200g..

Chumvi kijiko 1 na nusu cha chai..ikaange hadi iwr golden brown (ili mchanganyiko wetu usiharibike)...

Mafuta ya kupikia vijiko 4 vya chai

Namna ya kutaarisha....

Weka vitu vyote katika blenda au food processor saga bila ya kuweka maji....

Saga hadi iwe laini na hifadhi katika chupa ya kigae

Mamie hii paste unaipikia nini hasa?
 
Back
Top Bottom