Jiti alilobeba Ali Kiba lataka kumtoboa machoshabiki tuzo za MTV

Bila shaka hito itakuwa ni NDUMBA

papirrrrrr yooooooo
 
Team pinzani, hivi hamjakubali kwamba wote wamekosa tuzo, lol. hakuna wakati mmeonyesha udhaifu wenu kama wakati huu. Maneno ya kujifariji hayawaishi midomoni
 
Sio Uzalendo,

impression yake ni kuwa yeye ndio "Mfalme" wa Music Tanzania.

Naskiaga eti siku hizi kuna"TEAM bla bla" Vs Team bla bla.

Kwa hiyo yeye kuvaa hivyo anaamini tayari ni "King"
Ana uking gani king ni diamond tu mi mwenyew nimejua alichokuwa anajalibu kukifanya kwa watu wasiomjua yeye watu wanasema anaonesha uzalendo huyu jamaa anadharau ata insta ajamfolo mtu anajiona bora kuliko wenzie
 
Kijana kajitahidi kafanya ubunifu mzuri sana lakini bado kunawatu wanamponda wabongo noma sana!

-Nyerere-
Hapo UBUNIFU uko wapi..!?
Hivi inahitaji AKILI ya ziada kutambua kwamba hiyo style aliyotumia jukwaani imeenda kudhihirisha bifu yake na Platnumz kwa ULIMWENGU..!?
Yaani hapo kama BIFU ni JIKO,Ali Kiba amechochea KUNI..!
 
Hapo UBUNIFU uko wapi..!?
Hivi inahitaji AKILI ya dhiada kutambua kwamba hiyo style aliyotumia jukwaani imeenda kudhihirisha bifu yake na Platnumz kwa ULIMWENGU..!?
Yaani hapo kama BIFU ni JIKO,Ali Kiba amechochea KUNI..!
Dhaidi [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ana uking gani king ni diamond tu mi mwenyew nimejua alichokuwa anajalibu kukifanya kwa watu wasiomjua yeye watu wanasema anaonesha uzalendo huyu jamaa anadharau ata insta ajamfolo mtu anajiona bora kuliko wenzie
Kutomfolow mtu n tatzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…