Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee. Usiniambie?Mkuu nasikia sasa hivi ni 2:4 .updated information😀😀😀😀
Ana uking gani king ni diamond tu mi mwenyew nimejua alichokuwa anajalibu kukifanya kwa watu wasiomjua yeye watu wanasema anaonesha uzalendo huyu jamaa anadharau ata insta ajamfolo mtu anajiona bora kuliko wenzieSio Uzalendo,
impression yake ni kuwa yeye ndio "Mfalme" wa Music Tanzania.
Naskiaga eti siku hizi kuna"TEAM bla bla" Vs Team bla bla.
Kwa hiyo yeye kuvaa hivyo anaamini tayari ni "King"
Hapo UBUNIFU uko wapi..!?Kijana kajitahidi kafanya ubunifu mzuri sana lakini bado kunawatu wanamponda wabongo noma sana!
![]()
-Nyerere-
Team za kiduwanziKijana kajitahidi kafanya ubunifu mzuri sana lakini bado kunawatu wanamponda wabongo noma sana!
![]()
-Nyerere-
Basi utakuwa kuwadiMimi baba adija wewe
1:4Sio Uzalendo,
impression yake ni kuwa yeye ndio "Mfalme" wa Music Tanzania.
Naskiaga eti siku hizi kuna"TEAM bla bla" Vs Team bla bla.
Kwa hiyo yeye kuvaa hivyo anaamini tayari ni "King"
Mimi baba adija wewe
Mkuu nasikia sasa hivi ni 2:4 .updated information😀😀😀😀
Akufolo ili iwejeAna uking gani king ni diamond tu mi mwenyew nimejua alichokuwa anajalibu kukifanya kwa watu wasiomjua yeye watu wanasema anaonesha uzalendo huyu jamaa anadharau ata insta ajamfolo mtu anajiona bora kuliko wenzie
Dhaidi [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hapo UBUNIFU uko wapi..!?
Hivi inahitaji AKILI ya dhiada kutambua kwamba hiyo style aliyotumia jukwaani imeenda kudhihirisha bifu yake na Platnumz kwa ULIMWENGU..!?
Yaani hapo kama BIFU ni JIKO,Ali Kiba amechochea KUNI..!
🙂Dhaidi [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kutomfolow mtu n tatzo?Ana uking gani king ni diamond tu mi mwenyew nimejua alichokuwa anajalibu kukifanya kwa watu wasiomjua yeye watu wanasema anaonesha uzalendo huyu jamaa anadharau ata insta ajamfolo mtu anajiona bora kuliko wenzie
Dhaidi [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji85]Hapo UBUNIFU uko wapi..!?
Hivi inahitaji AKILI ya dhiada kutambua kwamba hiyo style aliyotumia jukwaani imeenda kudhihirisha bifu yake na Platnumz kwa ULIMWENGU..!?
Yaani hapo kama BIFU ni JIKO,Ali Kiba amechochea KUNI..!