Jiti alilobeba Ali Kiba lataka kumtoboa machoshabiki tuzo za MTV

[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1]
 
hahahahaha nimecheka sana... jiti hilo...
 
nimecheeeeekaaaa! afu nimejaribu ku imagine hayo maandishi ayasome hemedi kivuyo wa itv
 
Ile ilikuwa silaha kwa ajili ya Salaam kama angeenda kumzimia mic. Angeonekana tu mngeona kichapo cha kufa mtu. Shirki ndio anguko la huyu bwana mdogo.
Nimechekaaaa. Watu wa JF mna maneno. khaa!
 
Ile ilikuwa silaha kwa ajili ya Salaam kama angeenda kumzimia mic. Angeonekana tu mngeona kichapo cha kufa mtu. Shirki ndio anguko la huyu bwana mdogo.
HAHAHAHA jf raha tupu mnanipasua mbavu hakika.... hatari sana
 
Sio Uzalendo,

impression yake ni kuwa yeye ndio "Mfalme" wa Music Tanzania.

Naskiaga eti siku hizi kuna"TEAM bla bla" Vs Team bla bla.

Kwa hiyo yeye kuvaa hivyo anaamini tayari ni "King"
pia sikutegemea Alikiba angelivaa hivyo kwenye hilo tukio.....
 
Hapo UBUNIFU uko wapi..!?
Hivi inahitaji AKILI ya ziada kutambua kwamba hiyo style aliyotumia jukwaani imeenda kudhihirisha bifu yake na Platnumz kwa ULIMWENGU..!?
Yaani hapo kama BIFU ni JIKO,Ali Kiba amechochea KUNI..!
ni kweli
kiba anachochea beef
kwenda kujivalisha bendera na kiti kile ndo nn sasa
 
acha uchawi wewe
mbona una wivu sana kijan???
kwahiyo mwenzako ashindwe kubuni kisa takataka ww kwa taarifa yako kiba hakujui hata ukiandikaje haidhuru
 
Ile ilikuwa silaha kwa ajili ya Salaam kama angeenda kumzimia mic. Angeonekana tu mngeona kichapo cha kufa mtu. Shirki ndio anguko la huyu bwana mdogo.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ule utafiti wa 1:4 uko sahihi sana.
Halafu kuwa na chuki hivi plus kutunga maneno kunasaidia nini?
Ni kweli hata Mimi nilimuona na mjiti sikuelewa lina maana gani ila ule ni uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…