adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
GuDume dawa ni kujitahidi usiwe msindikizaji maishani....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani wa kulaumiwa katika usindikizaji wetu? Viongozi wetu /wazazi wetu au sisi wenyewe?na hili ndilo la msingi sana........... waafrika tunasindikiza sana...
Umeelewa lakini Uzi huu unahusu nini?Unajua nini? Najivunia kuwa mwafrika ila nasikitika sana kuzaliwa afrika.
Mkuu hata mimi nakuunga mkono hapa najuta kuzaliwa Afrika ya Tanzania. Kwakweli sitaki wanangu waje waishi kwa hili bara aisee wakajuta kama mimi. Ila tuvumilie tu ndo tushakua wa Afrika
point kubwa sana hii""......kingine ambacho kinamshangaza gudume ni jinsi ambavyo binaadamu ana hangaika kwaajili ya kumuumiza binaadamu mwenzie "" yaani baada ya kuhangaika kutafuta suluhu na kutengeneza Mazingira yatakayo pelekea binaadamu kuwa na furaha ..amani na upendo " ndio kwanza wengine wanahangaika nakuchochea kuni ili tanuri lipate kuwa ..."" hatupingi kuwa kifo kipo " ....lakini tunachokipinga ...ni kuona binaadamu mwenyew akihangaika katika kushiriki kuongeza uwezekano wa uwepo wa hicho kifo ...."kwa binaadamu "mwenzie ....""ndugu tulia tu soma kwa umakini aya baada ya aya utagundua nlichokuwa nazungumzia. leo nmetumia lugha nyepesi sana.. mana haya yooooote nilikuwa najadiliana na mtoto wangu kumuelezea kuwa anapaswa afanye kitu flani. asiwe msindikizaj. ni mbaya sana kifo kukukuta umekaa unakisubiri.. hapo unakuwa umeshakufa mara nyingi na kwa kishindo kikuu. watu jasiri bado hupambana na kifo na wakati mwingine hushinda.
Aiseeee..." kwanini hawataki ongezeko la watu zaidi ya hapo" kuna siri gani katika ongezeko kubwa zaidi ya hiyo idadi ""?Everything already planned boss!!!!
Huwezi kuzuia wewe kaa angalia picha linavyokwenda.....! Hii Dunia wanatakiwa wabakie watu takribani mil 500.....!
Kwa hiyo hayo yote ni kwa ajili ya kupunguza watu ili idadi hiyo itimie
Sent using Jamii Forums mobile app