Jitihada za Binadamu Kujiangamiza kwa kutumia akili, maarifa, sayansi na gunduzi mbalimbali ili kujiketekeza

GuDume dawa ni kujitahidi usiwe msindikizaji maishani....
 
Everything already planned boss!!!!

Huwezi kuzuia wewe kaa angalia picha linavyokwenda.....! Hii Dunia wanatakiwa wabakie watu takribani mil 500.....!

Kwa hiyo hayo yote ni kwa ajili ya kupunguza watu ili idadi hiyo itimie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na hili ndilo la msingi sana........... waafrika tunasindikiza sana...
Nani wa kulaumiwa katika usindikizaji wetu? Viongozi wetu /wazazi wetu au sisi wenyewe?
 
Umeelewa lakini Uzi huu unahusu nini?
 
point kubwa sana hii""......kingine ambacho kinamshangaza gudume ni jinsi ambavyo binaadamu ana hangaika kwaajili ya kumuumiza binaadamu mwenzie "" yaani baada ya kuhangaika kutafuta suluhu na kutengeneza Mazingira yatakayo pelekea binaadamu kuwa na furaha ..amani na upendo " ndio kwanza wengine wanahangaika nakuchochea kuni ili tanuri lipate kuwa ..."" hatupingi kuwa kifo kipo " ....lakini tunachokipinga ...ni kuona binaadamu mwenyew akihangaika katika kushiriki kuongeza uwezekano wa uwepo wa hicho kifo ...."kwa binaadamu "mwenzie ....""
 
Aiseeee..." kwanini hawataki ongezeko la watu zaidi ya hapo" kuna siri gani katika ongezeko kubwa zaidi ya hiyo idadi ""?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…