Jitihada za kuikomboa familia zimemuacha mama katika hali ngumu.

Jitihada za kuikomboa familia zimemuacha mama katika hali ngumu.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Familia ya baba mama na watoto wawili iliamua kusafiri ili kutafuta elimu nzuri ya watoto na maisha bora kwao wenyewe. Walifika Canada na kuanza maisha.

Hali ilikua ngumu, walikaribishwa na rafiki. Kukaribisha watu wanne nyumbani si rahisi hivyo ilibidi watafute kibarua kitakachowawezesha kumudu pango lao.

Katika kuhangaika hasa kanisani kuna bwana mmoja alimsaidia yule baba kupata kazi kiwandani. Ilibidi watumie vibali vya mtu. Mzee alipata kazi na maisha yaliendelea walihamia kwao.

Supervisor kule kiwandani aligundua yule mzee anafanyia kazi kibali cha mtu. Alimfahamisha mke wa mzee kuwa ni afahamu kinachoendelea na akitishia kumchoma jamaa.

Mama aliamua kumpa supervisor tamu ili kumziba mdomo. Kama ujuavuo dunia haina siri. Mzee alifahamu kuwa mama anampa tamu supervisor. Mzee alipata msongo wa mawazo uliosababishs kifo chake.

Watoto wanamchukis mama kwa kusababisha kifo cha dingi. Mama anasema alifanya yote ili kuokoa familia pia wamshukuru kuwatoa Afrika na kuwajengea msingi bora wa maisha huko Canada.
 
Mama amefanya haraka tu angeongea na mme wake kwamba anaenda kuonga penzi pengine Baba amekubali.. amemuua bure mmewe
 
Back
Top Bottom