Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo hayo kwenye mpira yapo hakuna anayetumwa ili fulani afanyiwe michezo isiyo ya kiungwana. Huyu hapa Mayele kanusuruka na magongo ila hakuna aliwaza kutumwa na mtu au kuwaza furaha ya upande wa pili.Hatimaye jamaa anatembelea magongo,bila shaka ni taarifa njema kwa watu fulani.View attachment 2455816
Si kweli kuwa hawajatumwa.Mambo hayo kwenye mpira yapo hakuna anayetumwa ili fulani afanyiwe michezo isiyo ya kiungwana. Huyu kanusuruka na magongo ila hakuna aliwaza kutumwa na mtu au kuwaza furaha ya upande wa pili. View attachment 2455828
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hivi hawa wanaohusika kufanya haya na sisi hatuwezi kuwakabili? Utafika wakati hata tukikutana nao mitaani tunawashughulikia.Yule Refa hakuna kazi ingine itayomfaa Maishani apewe badala Ya Urefa.....?
Nyie utopolo mnataka ufike wakati msikie kuna mchezaji wenu ameuliwa kidimbwi? Tunakoelekea sisi mashabiki tutawakabili huku mtaani.Mpka sasa wachezaji wangapi wameumia kwenye NBC premier League what so special kwa Phiri? Banda,Nkane, Moloko,Dube,Shikalo tena ilikua mechi ya Simba na Mtibwa hao wengine wana haki ya kuumia isipokua yeye tu?
Aishi miaka mingi mzee RageNyie utopolo mnataka ufike wakati msikie kuna mchezaji wenu ameuliwa kidimbwi? Tunakoelekea sisi mashabiki tutawakabili huku mtaani.
Kweli wabaya watu🤔Mambo hayo kwenye mpira yapo hakuna anayetumwa ili fulani afanyiwe michezo isiyo ya kiungwana. Huyu kanusuruka na magongo ila hakuna aliwaza kutumwa na mtu au kuwaza furaha ya upande wa pili. View attachment 2455828
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kwenye ligi ya NBC umemuona ni Phiri pekee ndiye anayechezewa rafu za mara kwa mara?Si kweli kuwa hawajatumwa.
Ingekuwa mara moja au mbili,tungeona ni kawaida.Lakini unaona kabisa watu wanafanya kwa intention fulani kuliko wanavyotafuta kufunga goli.
Haya mambo ni ushenzi tu na tunajua msomali yuko nyuma ya haya yote
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Utapoteza nguvu kumuelewesha kolo bin ngada, hawana pa kupata furaha zaidi ya hizo nyimboMambo hayo kwenye mpira yapo hakuna anayetumwa ili fulani afanyiwe michezo isiyo ya kiungwana. Huyu kanusuruka na magongo ila hakuna aliwaza kutumwa na mtu au kuwaza furaha ya upande wa pili. View attachment 2455828
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Achana na zwazwa huyooKwahiyo kwenye ligi ya NBC umemuona ni Phiri pekee ndiye anayechezewa rafu za mara kwa mara?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Ni chuki ya wazi kabisaMpka sasa wachezaji wangapi wameumia kwenye NBC premier League what so special kwa Phiri? Banda,Nkane, Moloko,Dube,Shikalo tena ilikua mechi ya Simba na Mtibwa hao wengine wana haki ya kuumia isipokua yeye tu?
Asee mi mpaka kuna mda najiuliza hivi huu ni utoto au ni ujinga ?Mashabiki wa Simba wanaendeshwa na mihemko sana.
Hawataki timu yao ifungwe, hawataki idroo, hawataki wachezaji waguswe au kuumizwa. Yani wanadeka mpaka basi.
Nkane kaumizwa juzi kati, hakumaliza ile mechi ila hawaongelei ilo.
Wachezaji wote Wana haki sawa, hakuna anayetakiwa kuumizwa au anayepewa kipaumbele na ulinzi.
Issue ya Phiri mmeishupalia sababu ya Mayele.
Hata bao wanaumia vidole[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Kama mnataka mchezaji asiumie akacheze bao