Jitihada zenu zimezaa matunda, haya hongera zenu

Jitihada zenu zimezaa matunda, haya hongera zenu

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Hatimaye jamaa anatembelea magongo,bila shaka ni taarifa njema kwa watu fulani.
IMG_6804.jpg
 
Hatimaye jamaa anatembelea magongo,bila shaka ni taarifa njema kwa watu fulani.View attachment 2455816
Mambo hayo kwenye mpira yapo hakuna anayetumwa ili fulani afanyiwe michezo isiyo ya kiungwana. Huyu hapa Mayele kanusuruka na magongo ila hakuna aliwaza kutumwa na mtu au kuwaza furaha ya upande wa pili.
IMG_20221223_154043.jpg

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mambo hayo kwenye mpira yapo hakuna anayetumwa ili fulani afanyiwe michezo isiyo ya kiungwana. Huyu kanusuruka na magongo ila hakuna aliwaza kutumwa na mtu au kuwaza furaha ya upande wa pili. View attachment 2455828

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Si kweli kuwa hawajatumwa.

Ingekuwa mara moja au mbili,tungeona ni kawaida.Lakini unaona kabisa watu wanafanya kwa intention fulani kuliko wanavyotafuta kufunga goli.

Haya mambo ni ushenzi tu na tunajua msomali yuko nyuma ya haya yote

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yule Refa hakuna kazi ingine itayomfaa Maishani apewe badala Ya Urefa.....?
Hivi hawa wanaohusika kufanya haya na sisi hatuwezi kuwakabili? Utafika wakati hata tukikutana nao mitaani tunawashughulikia.
 
Mpka sasa wachezaji wangapi wameumia kwenye NBC premier League what so special kwa Phiri? Banda,Nkane, Moloko,Dube,Shikalo tena ilikua mechi ya Simba na Mtibwa hao wengine wana haki ya kuumia isipokua yeye tu?
Nyie utopolo mnataka ufike wakati msikie kuna mchezaji wenu ameuliwa kidimbwi? Tunakoelekea sisi mashabiki tutawakabili huku mtaani.
 
Mashabiki wa Simba wanaendeshwa na mihemko sana.

Hawataki timu yao ifungwe, hawataki idroo, hawataki wachezaji waguswe au kuumizwa. Yani wanadeka mpaka basi.

Nkane kaumizwa juzi kati, hakumaliza ile mechi ila hawaongelei ilo.

Wachezaji wote Wana haki sawa, hakuna anayetakiwa kuumizwa au anayepewa kipaumbele na ulinzi.

Issue ya Phiri mmeishupalia sababu ya Mayele.
 
Si kweli kuwa hawajatumwa.

Ingekuwa mara moja au mbili,tungeona ni kawaida.Lakini unaona kabisa watu wanafanya kwa intention fulani kuliko wanavyotafuta kufunga goli.

Haya mambo ni ushenzi tu na tunajua msomali yuko nyuma ya haya yote

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kwenye ligi ya NBC umemuona ni Phiri pekee ndiye anayechezewa rafu za mara kwa mara?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mambo hayo kwenye mpira yapo hakuna anayetumwa ili fulani afanyiwe michezo isiyo ya kiungwana. Huyu kanusuruka na magongo ila hakuna aliwaza kutumwa na mtu au kuwaza furaha ya upande wa pili. View attachment 2455828

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Utapoteza nguvu kumuelewesha kolo bin ngada, hawana pa kupata furaha zaidi ya hizo nyimbo
Wakati Inonga anampiga but I sure boy ambalo lingeweza kuhatarisha maisha Yake wala hawakupayuka
Ila Sasa hv wameshikwa na verbal diarrhea
 
Mashabiki wa Simba wanaendeshwa na mihemko sana.

Hawataki timu yao ifungwe, hawataki idroo, hawataki wachezaji waguswe au kuumizwa. Yani wanadeka mpaka basi.

Nkane kaumizwa juzi kati, hakumaliza ile mechi ila hawaongelei ilo.

Wachezaji wote Wana haki sawa, hakuna anayetakiwa kuumizwa au anayepewa kipaumbele na ulinzi.

Issue ya Phiri mmeishupalia sababu ya Mayele.
Asee mi mpaka kuna mda najiuliza hivi huu ni utoto au ni ujinga ?
Maana watu wanalalamika kama wanaonewa, wachezaji wote wanaumia lakini hamna kelele.
Hizi ni hoja zinatengenezwa Ili kuonyesha mayele like anapata favor flani hivi.
 
Back
Top Bottom