Jitihada zenu zimezaa matunda, haya hongera zenu

Asee mi mpaka kuna mda najiuliza hivi huu ni utoto au ni ujinga ?
Maana watu wanalalamika kama wanaonewa, wachezaji wote wanaumia lakini hamna kelele.
Hizi ni hoja zinatengenezwa Ili kuonyesha mayele like anapata favor flani hivi.
Mashabiki wanakawaida ya kutetea timu na wachezaji wao, ila Simba wamezidi. Washakuwa vipofu kabisa. Yani wao wakishinda 7,wanasema halali, Yanga akishinda 3 wanasema katembeza mlungula
 
Mashabiki wanakawaida ya kutetea timu na wachezaji wao, ila Simba wamezidi. Washakuwa vipofu kabisa. Yani wao wakishinda 7,wanasema halali, Yanga akishinda 3 wanasema katembeza mlungula
wapuuzi tu
wamemuumiza shikaro mechi ya mtibwa wakashinda goli nyingi wala hakuna aliye lalamika.ila wakiguswa wao kdg kelele mji mzima
 

Kwani huyo jamaa ni so special kiasi hicho??
So wachezaji wanaocheza rafu wametumwa?
Na una ushahid kuwa msomali anahusika au ni hisia na kuchafua watu?
Mwisho huyo jamaa ni wa kawaida saaana
 
Kazi kweli kweli!
 
Mpka sasa wachezaji wangapi wameumia kwenye NBC premier League what so special kwa Phiri? Banda,Nkane, Moloko,Dube,Shikalo tena ilikua mechi ya Simba na Mtibwa hao wengine wana haki ya kuumia isipokua yeye tu?
Sasa phili unafananisha na hizo takataka?
 
Simba na yanga wote ndivyo mlivyo mkuu.Huwa mnaamka mmoja wenu anapozidiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…