Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kweli kabisa.Aishi miaka mingi mzee Rage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa.Aishi miaka mingi mzee Rage
🤣🤣🤣🤣Upo sahihi mkuu.🚮🚮🚮🚮
Kama mnataka mchezaji asiumie akacheze bao
🚮🚮🚮🚮
Kama mnataka mchezaji asiumie akacheze bao
Mashabiki wanakawaida ya kutetea timu na wachezaji wao, ila Simba wamezidi. Washakuwa vipofu kabisa. Yani wao wakishinda 7,wanasema halali, Yanga akishinda 3 wanasema katembeza mlungulaAsee mi mpaka kuna mda najiuliza hivi huu ni utoto au ni ujinga ?
Maana watu wanalalamika kama wanaonewa, wachezaji wote wanaumia lakini hamna kelele.
Hizi ni hoja zinatengenezwa Ili kuonyesha mayele like anapata favor flani hivi.
wapuuzi tuMashabiki wanakawaida ya kutetea timu na wachezaji wao, ila Simba wamezidi. Washakuwa vipofu kabisa. Yani wao wakishinda 7,wanasema halali, Yanga akishinda 3 wanasema katembeza mlungula
Yani wanadeka kuliko maelezo. Wanataka attention yote iwe kwao. Alaf walivyo na kaunafiki, matukio hayo hayo yakitokea timu zingine, wanakaushawapuuzi tu
wamemuumiza shikaro mechi ya mtibwa wakashinda goli nyingi wala hakuna aliye lalamika.ila wakiguswa wao kdg kelele mji mzima
Si kweli kuwa hawajatumwa.
Ingekuwa mara moja au mbili,tungeona ni kawaida.Lakini unaona kabisa watu wanafanya kwa intention fulani kuliko wanavyotafuta kufunga goli.
Haya mambo ni ushenzi tu na tunajua msomali yuko nyuma ya haya yote
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
safi,Hatimaye jamaa anatembelea magongo,bila shaka ni taarifa njema kwa watu fulani.View attachment 2455816
We jamaa huwa unalia lia sanaSi kweli kuwa hawajatumwa.
Ingekuwa mara moja au mbili,tungeona ni kawaida.Lakini unaona kabisa watu wanafanya kwa intention fulani kuliko wanavyotafuta kufunga goli.
Haya mambo ni ushenzi tu na tunajua msomali yuko nyuma ya haya yote
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kazi kweli kweli!Mashabiki wa Simba wanaendeshwa na mihemko sana.
Hawataki timu yao ifungwe, hawataki idroo, hawataki wachezaji waguswe au kuumizwa. Yani wanadeka mpaka basi.
Nkane kaumizwa juzi kati, hakumaliza ile mechi ila hawaongelei ilo.
Wachezaji wote Wana haki sawa, hakuna anayetakiwa kuumizwa au anayepewa kipaumbele na ulinzi.
Issue ya Phiri mmeishupalia sababu ya Mayele.
Sasa phili unafananisha na hizo takataka?Mpka sasa wachezaji wangapi wameumia kwenye NBC premier League what so special kwa Phiri? Banda,Nkane, Moloko,Dube,Shikalo tena ilikua mechi ya Simba na Mtibwa hao wengine wana haki ya kuumia isipokua yeye tu?
Ndio kasha umia mengine baki nayo mwenyeweSasa phili unafananisha na hizo takataka?
Simba na yanga wote ndivyo mlivyo mkuu.Huwa mnaamka mmoja wenu anapozidiwa.Mashabiki wa Simba wanaendeshwa na mihemko sana.
Hawataki timu yao ifungwe, hawataki idroo, hawataki wachezaji waguswe au kuumizwa. Yani wanadeka mpaka basi.
Nkane kaumizwa juzi kati, hakumaliza ile mechi ila hawaongelei ilo.
Wachezaji wote Wana haki sawa, hakuna anayetakiwa kuumizwa au anayepewa kipaumbele na ulinzi.
Issue ya Phiri mmeishupalia sababu ya Mayele.
Hii hua hawatakagi kabisa kuiona wala kuiskia. Hata semaji la mchongo la CAF akiiona hii hua ananywea sana. Mbaya ni wao ndo wameifanya na sio timu nyingne.We jamaa huwa unalia lia sanaView attachment 2456369