Acha kumdanganya mwenzako! Uvutaji wa bangi unaongeza hamu ya kula Mara dufu ! Hivyo basi atajikuta anakula mpaka majani Kama ng'ombe na matokeo yake Ni weight kuongezeka nasio kupungua! Bangi inamkondesha mtu asie na uhakika wa kula tu . Namshauri afanye mazoezi ya viungo kila siku kwa masaa yasiyo pungua 2 , apunguze ulaji wa vyakula vya wanga ikiwezekana asile kabisa vyakula vyenye Wanga na protein kwa usiku! Ale matunda mengi ktk kila mlo:note chakula kiwe kidogo matunda yawe mengi! Mlo wa usiku uwe less Saa 2 ! Maji mengi Ni muhimu zaidi