Jitu nataka nipunguze uzito nina kg 250,bmi 50,height 250.7

Jitu nataka nipunguze uzito nina kg 250,bmi 50,height 250.7

Kukimbia, kutembea, kuruka kamba, ni miongoni mwa mazoezi yanayopunguza uzito
 
Fanya mazoezi angalua saa moja kwa siku. Ndani ya mwezi mmoja usiguse wali, ugali, chips, soda, red meat, ngano. Gonga nyasi kama mbuzi, na white meat tena ziwe za kuchoma. Yani kata starchy food, junky food, zoote. Utaona matokeo.
 
Alie kuambia Nani wakat Mimi Nina mwaka wa 10 navuta ! Wew unadhani kwanin Korea waliruhusu bangi?
Mmmmh kwa mm bd Siamin but huku kwetu Jamaa zangu wote ni vimbaumbau wanavuta bangi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Jitolee figo moja hapo utapunguza kilo moja.

Ngoa meno ya mbele yote utpunguza nusu kilo.

Nenda jando hilo lingozi lako hlikosi robo kilo.

Nyoa nywele za kule pahala pia utapunguza uzito na mwisho kabisa wacha vyakula vya sukari,hasa ice cream maana ma'bonge nyanya wanapenda sana hii
 
Fanya mazoezi angalua saa moja kwa siku. Ndani ya mwezi mmoja usiguse wali, ugali, chips, soda, red meat, ngano. Gonga nyasi kama mbuzi, na white meat tena ziwe za kuchoma. Yani kata starchy food, junky food, zoote. Utaona matokeo.
Akifanya hivi kwa displine kubwa ata fanikiwa sana
 
Tumia hii kituu....kila siku asubuhi na jioni...
bf11e103373f5b747e38d08b6d989433.jpg
Hivi unafahamu calories zilizoko kwenye pombe?
 
Naomba jifunze ELIMU maalum ya Lishe itakayokupa siha njema pamoja na kupungua uzito na unene uliokithiri.

Pata ELIMU hii kupitia tovuti hii ya dk.Kitundu Boaz Mkumbo kwa DR. BOAZ MKUMBO

Kuna shuhuda za watu wengi waliopunguza kitambi cha wanga.

Tafuta kitabu cha kocha mtaalamu dk.K.B. Mkumbo kwa njia ya WhatsApp kupitia simu namba: +255 674 545 294
 
Tembea kwa saa moja kila siku asubuhi na jioni
Ongeza unywaji wa maji
Ongeza ulaji wa mboga na matunda yasiyo na sukari
Punguza kula wanga
Punguza kula na kunywa vyakula vya viwandani mfano soda juisi nk
Punguza kunywa maji ya chupa
ANZA NA HAYO BAADA YA WIKI 2 LETA MREJESHO
 
Back
Top Bottom