Jitu zima linatoka Congo linakuja kupaki Basi Jangwani Ilala Dar es Salaam halafu tena bila aibu linajisifia kabisa mbele ya Media

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hopeless kabisa!

Na bahati yenu na nina uhakika Siku ya leo hamtokuja Kuisahau kwani nilizozihesabu mmekoswakoswa za Kihalali kabisa ni Sita ( 6 )

Halafu linahojiwa badala lizungumze Kiufundi na Kukiri kuwa leo amefundishwa jinsi ya ' Kulisakata ' lenyewe na Mkofia wake utadhani Mvuvi wa Nungwi bila hata haya / aibu linasema kuwa tokea awali alipanga ' Kupaki Basi ' na huo ndiyo ulikuwa mpango wake.

Sasa kama kumbe ulipanga ' Kupaki Basi ' kwani nawe ulikuwa unashambulia na kutafuta Ushindi wako? Kuna Mijitu mingine kwa jinsi ilivyo Mipuuzi unaweza hata ukiwa nayo karibu na ukaifuma inaongea Upuuzi na Upopoma unaweza kuamua Kuipiga Vibao vya maana kama siyo Ndoo / Vichwa ili ijifunze.

Mganga wenu wa Morogoro msimuache vinginevyo leo mngetafutana pale Mitaa ya Twiga na Jangwani hakyanani.

Nawasilisha.
 
We msenge kwani we ni kocha au? C tumeshinda mechi 4 tumedroo 1 wewe umepigwa moja dra 2 nani ana hasara kocha ana akili yule muache pambaneni na ubovu wenu
 
BORA YEYE KULIKO MASHAIRI YAKO TOKA IJUMAA SIMBA ANASHINDA 2-0 OOOH NYAKANYAKAAANYUAKAAAA NKASEMA UMEKUWA SANGOMA TOKA LINI LEOO UMEAIBIKA MPWAAAA

KAMA HUJUIII SIMBA NA YANGA KAA KIMYA
 
We msenge kwani we ni kocha au? C tumeshinda mechi 4 tumedroo 1 wewe umepigwa moja dra 2 nani ana hasara kocha ana akili yule muache pambaneni na ubovu wenu
Achananaaaanar mwanakwayaaa kabashirii imegomaaaa anaonaaapakukimbilia

Shameempwaaawangui
 
Hopeless kabisa!

Na bahati yenu na nina uhakika Siku ya leo hamtokuja Kuisahau kwani nilizozihesabu mmekoswakoswa za Kihalali kabisa ni Sita ( 6 )

Halafu linahojiwa badala lizungumze Kiufundi na Kukiri kuwa leo amefundishwa jinsi ya ' Kulisakata ' lenyewe na Mkofia wake utadhani Mvuvi wa Nungwi bila hata haya / aibu linasema kuwa tokea awali alipanga ' Kupaki Basi ' na huo ndiyo ulikuwa mpango wake.

Sasa kama kumbe ulipanga ' Kupaki Basi ' kwani nawe ulikuwa unashambulia na kutafuta Ushindi wako? Kuna Mijitu mingine kwa jinsi ilivyo Mipuuzi unaweza hata ukiwa nayo karibu na ukaifuma inaongea Upuuzi na Upopoma unaweza kuamua Kuipiga Vibao vya maana kama siyo Ndoo / Vichwa ili ijifunze.

Mganga wenu wa Morogoro msimuache vinginevyo leo mngetafutana pale Mitaa ya Twiga na Jangwani hakyanani.

Nawasilisha.
ANGALIAA WANAUME AWAJAZI POST WAONEKANE MOJAAA INACHOMAA MPAKA SANGOMAAA... NINA
Screenshot_20181001-012353.png
 
Yanga mkitoka kwa mchina kwingine mtakapoenda kutakuwa ni machinjioni sipati picha mbao kirumba atawapiga ngapi
 
Hopeless kabisa!

Na bahati yenu na nina uhakika Siku ya leo hamtokuja Kuisahau kwani nilizozihesabu mmekoswakoswa za Kihalali kabisa ni Sita ( 6 )

Halafu linahojiwa badala lizungumze Kiufundi na Kukiri kuwa leo amefundishwa jinsi ya ' Kulisakata ' lenyewe na Mkofia wake utadhani Mvuvi wa Nungwi bila hata haya / aibu linasema kuwa tokea awali alipanga ' Kupaki Basi ' na huo ndiyo ulikuwa mpango wake.

Sasa kama kumbe ulipanga ' Kupaki Basi ' kwani nawe ulikuwa unashambulia na kutafuta Ushindi wako? Kuna Mijitu mingine kwa jinsi ilivyo Mipuuzi unaweza hata ukiwa nayo karibu na ukaifuma inaongea Upuuzi na Upopoma unaweza kuamua Kuipiga Vibao vya maana kama siyo Ndoo / Vichwa ili ijifunze.

Mganga wenu wa Morogoro msimuache vinginevyo leo mngetafutana pale Mitaa ya Twiga na Jangwani hakyanani.

Nawasilisha.
Leo ndo nimedhihilisha kuwa Simba ni butuuuuuuuuuuuuuuu, hafu ni timu mbovuuuuuuuu, wanshindwaje kufunga mda wote wako kwenye goli la mpinzani wao😡😡😡 kweli huyu kocha wa simba naanza kuwa na wasiwasi nae huyu anatoka Mikindani sio Belgium😡
 
Hopeless kabisa!

Na bahati yenu na nina uhakika Siku ya leo hamtokuja Kuisahau kwani nilizozihesabu mmekoswakoswa za Kihalali kabisa ni Sita ( 6 )

Halafu linahojiwa badala lizungumze Kiufundi na Kukiri kuwa leo amefundishwa jinsi ya ' Kulisakata ' lenyewe na Mkofia wake utadhani Mvuvi wa Nungwi bila hata haya / aibu linasema kuwa tokea awali alipanga ' Kupaki Basi ' na huo ndiyo ulikuwa mpango wake.

Sasa kama kumbe ulipanga ' Kupaki Basi ' kwani nawe ulikuwa unashambulia na kutafuta Ushindi wako? Kuna Mijitu mingine kwa jinsi ilivyo Mipuuzi unaweza hata ukiwa nayo karibu na ukaifuma inaongea Upuuzi na Upopoma unaweza kuamua Kuipiga Vibao vya maana kama siyo Ndoo / Vichwa ili ijifunze.

Mganga wenu wa Morogoro msimuache vinginevyo leo mngetafutana pale Mitaa ya Twiga na Jangwani hakyanani.

Nawasilisha.
Mkuu ile kafara uliyotufahamisha itafanyika ilibuma nini?
 
We msenge kwani we ni kocha au? C tumeshinda mechi 4 tumedroo 1 wewe umepigwa moja dra 2 nani ana hasara kocha ana akili yule muache pambaneni na ubovu wenu

Kwa Mimi ambaye ni ' Rais ' wa Kudumu wa Matusi / Maneno Shombo Jamvini hilo Tusi ulilolitaja hapo wala bado naona hujanitukana hivyo nakuomba tulia chini tafuta Matusi mengine mapya na kama huna niambie nikuazime Kamusi yangu ' Tukuka ' kabisa na Matusi ili uokote okote mengine huko kisha uwe ' Mbobevu ' nayo.
 
N
Hopeless kabisa!

Na bahati yenu na nina uhakika Siku ya leo hamtokuja Kuisahau kwani nilizozihesabu mmekoswakoswa za Kihalali kabisa ni Sita ( 6 )

Halafu linahojiwa badala lizungumze Kiufundi na Kukiri kuwa leo amefundishwa jinsi ya ' Kulisakata ' lenyewe na Mkofia wake utadhani Mvuvi wa Nungwi bila hata haya / aibu linasema kuwa tokea awali alipanga ' Kupaki Basi ' na huo ndiyo ulikuwa mpango wake.

Sasa kama kumbe ulipanga ' Kupaki Basi ' kwani nawe ulikuwa unashambulia na kutafuta Ushindi wako? Kuna Mijitu mingine kwa jinsi ilivyo Mipuuzi unaweza hata ukiwa nayo karibu na ukaifuma inaongea Upuuzi na Upopoma unaweza kuamua Kuipiga Vibao vya maana kama siyo Ndoo / Vichwa ili ijifunze.

Mganga wenu wa Morogoro msimuache vinginevyo leo mngetafutana pale Mitaa ya Twiga na Jangwani hakyanani.

Nawasilisha.
Wakati unajigamba nilikuambia kuwa muda utaongea.
Generali mzuri wa mipango za vita kwanza anaangalia uwezo na udhaifu wa mpinzani wake baada ya hapo anatayarisha mipango ya vita .
Mipango mizuri ya vita iliwezesha Isreal kuwagaragaza maadui wao ambao waliwazidi maradufu kwa idadi ya askari pamoja na zana.
 
Hopeless kabisa!

Na bahati yenu na nina uhakika Siku ya leo hamtokuja Kuisahau kwani nilizozihesabu mmekoswakoswa za Kihalali kabisa ni Sita ( 6 )

Halafu linahojiwa badala lizungumze Kiufundi na Kukiri kuwa leo amefundishwa jinsi ya ' Kulisakata ' lenyewe na Mkofia wake utadhani Mvuvi wa Nungwi bila hata haya / aibu linasema kuwa tokea awali alipanga ' Kupaki Basi ' na huo ndiyo ulikuwa mpango wake.

Sasa kama kumbe ulipanga ' Kupaki Basi ' kwani nawe ulikuwa unashambulia na kutafuta Ushindi wako? Kuna Mijitu mingine kwa jinsi ilivyo Mipuuzi unaweza hata ukiwa nayo karibu na ukaifuma inaongea Upuuzi na Upopoma unaweza kuamua Kuipiga Vibao vya maana kama siyo Ndoo / Vichwa ili ijifunze.

Mganga wenu wa Morogoro msimuache vinginevyo leo mngetafutana pale Mitaa ya Twiga na Jangwani hakyanani.

Nawasilisha.
Sidhani kama uko vizuri kichwani. Fikiri kabla ya kuandika. Huu ni utoto mtupu
 
GENTAMYCINE unamkosea adabu kocha wetu..jamaa ni Mfaransa ,yeye na familia yake wanaishi Paris..toka mwanzo alishasema wachezaji wengi wa Yanga wanacheza mpira wa kitoto(school boy football)hivyo alivyokutana na Mwenyekiti alimpa orodha ya wachezaji watano wa kimataifa...hivyo basi mzunguko wa pili mtakutana na "mijitu" ya ajabu..poleni watani mpira wakati mwingine unamatokeo ya kikatili....
 
Jitu zima Kutoka Congo lina Point nyingi kuliko mfuasi wa Dini ya Mashaidi wa Yehova.

Licha ya kuwa na mechi moja mkononi.
IMG_20180930_202034.jpg
 
Yanga mkitoka kwa mchina kwingine mtakapoenda kutakuwa ni machinjioni sipati picha mbao kirumba atawapiga ngapi
Kuna katabia fulani hivi.

Timu yeyote ikikufunga, basi huwa inapigwa bao nyingi sana ikjcheza na Yanga SC.

Mf:-

Msimu 2016/17 - Kagera Sugar.

Akaja kupigwa 6 na Yanga.

Msimu 2015/16 - African Lyon.

Akaja kupigwa 3 na Yanga.

Msimu wa 2014/15 - Mtibwa.

Akaja kupigwa 2 na Yanga.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom