Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Fumba macho kwa dakika 10 hapo ulipo, kisha tafakari yafuatayo:-
- Ni nani atakuwa na wewe, bega kwa bega ukiwa gerezani?
- Ni nani atakuwa na wewe, ukiwa kwenye ugonjwa mahututi?
- Ni nani atakuwa na wewe, pale utakapopata ulemavu?
- Ni nani atakuwa na wewe, pale familia itakapofariki?
- Ni nani atakuwa na wewe, pale familia itakapokutenga?
- Ni nani atakuwa na wewe, pale utakapoachishwa kazi?
- Ni nani atakuwa na wewe, pale utakapofilisika?