Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Wapo pia wazazi wanaofanya ubaguzi kwa watoto waoKuna mama hawana kabisa upendo na watoto wao,wapo wanawake pia wanatupa watoto wa kuwazaa wenyewe
Kweli kuna changamotoWanaume wengi wanaofia kwa wake zao wamepitia manyanyaso sana
Wazazi wengine ni vichomi,kama mlizaliwa wengiWazazi
Ni kweli uko sahihi, ila kuwaza ni muhimu pia, kwa sababu itakupa picha ya keshohii dunia ikiwaza sana utatoboka moyo, fanya yale yaliyodani ya uwezo wako.
Ni kweli binadamu ahaminikiMungu peke yake.
Kwenye raha wapo wengi, hata usiowataka watakujanaona umeelezea sehem zenye majanga tu ila raha hujasema bila shaka we ni mwanaume
True trueMwanaume ukiondoa mama ake mzazi (inatgemea) anakuwa peke ake toka kuzaliwa hadi kufa