Jiulize maswali haya na jijibu

Jiulize maswali haya na jijibu

arejf

Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
59
Reaction score
46
Wewe ni nani?
Upo hapa duniani kwa ajili gani?
Nani aliyekuumba?
Nini hatima ya maisha yako?
Ukiondoka au ukifa unaelekea wapi?
Je unakujua jehanamu?

Jibu katika uelewako,mshirikishe na mwenzio.
 
Hayo magumu sana kiongozi, tuanze na yale mepesi kwanza....TUMETOKA WAPI? TUPO SEHEMU SAHIHI TULIPO SASA? TUNAELEKEA WAPI?

Kama ni safari ya gari, DEREVA ana LESENI halali? AMEIPATAJE? Kanuni na miiko ya safari inajulikana kwa wasafiri wote? Sheria za barabarani zinaeleweka? Njia tupitayo ndio yenyewe au tunachochora?

Gari ulilopanda ni sahihi na salama? Mi ndo nahangaika kujiuliza hivi, natumaini nitapata majibu!
 
Wewe ni nani?
Upo hapa duniani kwa ajili gani?
Nani aliyekuumba?
Nini hatima ya maisha yako?
Ukiondoka au ukifa unaelekea wapi?
Je unakujua jehanamu?

Jibu katika uelewako,mshirikishe na mwenzio.
Watakuja watu waseme eti wameumbwa na Yesu......
 
Back
Top Bottom