Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuja watu waseme eti wameumbwa na Yesu......Wewe ni nani?
Upo hapa duniani kwa ajili gani?
Nani aliyekuumba?
Nini hatima ya maisha yako?
Ukiondoka au ukifa unaelekea wapi?
Je unakujua jehanamu?
Jibu katika uelewako,mshirikishe na mwenzio.
Kijana wa mudi Wampenda yesuWatakuja watu waseme eti wameumbwa na Yesu......
Yesu au YASU?Kijana wa mudi Wampenda yesu
MuhammadYesu au YASU?