Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Shule ya msingi niliyosoma Ina hali mbovu kupindukia. Na wala siwezi kuumia.Habari Tanzania !
Leo nimewaza sana. Inakuwaje Shule ya Msingi uliyosoma wewe mazingira uliyoyaacha mpaka leo yapo hivyo hivyo na mengine yameharibika kwa nini?
Inauma sana.
Karibu
Haaaaahaaaaa wapi hiyo ?Shule niliyosoma IPO mjini kabisa sidhan kama serikali itaruhusu iwe na Hali mbaya ni shule maarufu sana mkoa x na IPO na mazingira Bora nadhan ni sababu IPO barabaran mjini
Hujui kama kodi zinatumika isivyo hata kugharimia nyonya damu?Habari Tanzania !
Leo nimewaza sana. Inakuwaje Shule ya Msingi uliyosoma wewe mazingira uliyoyaacha mpaka leo yapo hivyo hivyo na mengine yameharibika kwa nini?
Inauma sana.
Karibu
Basi inawezekana hiyo haikunyonwa damu!Shule ya msingi ITIMBYA wilayani mbogwe ndipo nilipomaliza shule ya msingi mwishoni mwa miaka ya 90 binafsi kwa sasa shule iko na mazingira bora sana kuliko miaka hiyo
Haaaaahaaaaa aisee Shule sio. Yaani waliosoma Shule za Serikali Manispaa ya Ilala, Temeke na Kinondoni aisee hizo shule kwasasa ni kichefuchefu.Dah,tumetoka mbali
Shule ya Msingi Wailesi - Temeke hiyo. Zamani walikuwa na Ukuta nini mambo mazuri. Ila kwasasa nomaUnunio SM, ipo poa sana, ilikuwa haina uzio geti ila kwa sasa ipo kati... Tatizo matukio hayaishi.