Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
- Thread starter
-
- #21
Kwa Dar ni shule ipo ambayo haijazungukwa na maofisi mbalimbali ?Shule nilivyosoma ni Bora zaidi kuliko nilivyoiacha,shule imezungukwa na maofisi yote ya serikali hawawezi kuiacha mbovu,
Dar sipajui aisee,,labda kama kuna anaeijua shule ya msingi kiwanjani. Wilaya ya Mbinga,ataelewa hiiKwa Dar ni shule ipo ambayo haijazungukwa na maofisi mbalimbali ?
Haaaaahaaaaa hiyo ni kanyaga twende.
Labda ulisomea International School of Tanganyika. Haaaaahaaaaa
Hongera sana mkuu 🙏Ni miaka 47 tangu nimalize shule ya msingi na nimesoma shule 3 tofauti ndani ya miaka 7 mazingira niliyoyakuta ni mazuri
Iko vyedii
Ndio mfanye kurudi mpaone. HaaaaahaaaaaTangu nimalize sijawahi kurudi pale kupaona tena.