Kuna watu uwepo wao hapa duniani huleta shida na maafa kwa jamii ; jamii hukosa....Mkuu pole sana na uchovu wa leo wa kuchimba kaburi.
Pia story za malaloni huwa tunaziacha kule kule malaloni.
Ukifa unawaona wanaokuzika etiSiku nikifa nitakuwa nimekufa
Haijalishi nitazikwa ama nitachomwa moto,futi 6 ama 15 wala haitakuwa na umuhimu kwangu
Point ni kwamba tayari nimekufa....the rest i don't give a phuck
Tamthilia za Kijapani zimeanza kukuathiri Medulla O
Mkuu tafuta hela, siku ukifa utazikwa kifalme hata kama ulikuwa katili.Kikawaida kaburi huwa futi sita kwenda chini..