Jiunge na mapambano ya ukombozi wa Tanzania: Tufanye hivyo tarehe 9 Disemba

Jiunge na mapambano ya ukombozi wa Tanzania: Tufanye hivyo tarehe 9 Disemba

Matovu Godfrey

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
986
Reaction score
693
20251113_101858.jpg


Waafrika wenzangu Tanzania, nakutaarifu kuwa hii ni nafasi ya mwisho ya kurudisha uhuru wako, nakuandikia barua ya wazi #GEN_Z, mahususi kuonyesha madhara ya hatari utakayokumbana nayo katika utawala wa dikteta #Samia_Suluhu usiposimama kupambana na utawala huu katili ⚠️

9-December tunataka Pamoja tusonge mbele.

20251113_101858.jpg
20251113_142234.jpg
20251112_174116.jpg
20251112_173850.jpg
20251112_082312.jpg
20251112_112822.jpg
20251112_122515.jpg
 
Vijana fanyeni kazi! Hizi propanganda ni kujitakia umauti usio na ulazima! Serikali ilishaundwa hamna namna unaweza kuitoa madarakani acheni kujidanganya ndugu zangu
Mbona wewe ni mwoga ivi kwani serikali si ni watu wamewekwa na watu na hao hao watu wanaweza amua wakawatoa ndugu ama inakubali kuongozwa na mtu asiyechaguliwa na wananchi. Hata somalia ilianzaga ivi ivi kwa ulafi wa watu wachache wakapelekea machafuko.
Njoo mbona Kodi ya madini haiko wazi , jpm alisema kuwa Kuna miktaba ya ovyo Kama 200 nchi hii.
Ina Mana watu wameuza resources sema asilimia nyingi mno wanajichukulia wao na sio wananchi so wananchi wanabakia bado kuumia kulipa Kodi.
Bandari za bongo zimeuzwa Ila mbona za Zanzibar hazijabinafsishwa zenyewe so sie tunapendwa mno. Kuna wamasai wanahamishwa ngorongoro ili tu mwarabu aifaidi hifadhi yetu na uchumi wa wamasai unategemea ng'ombe.
Yaani nchi mnaichafua wenyewe , endeleeni kuua adi risasi ziwatoshe.

Hapa nakuambia kitazidi kuchafukaje ndio mjue kuwa inabidi haki kwanza ndio watu watulie Sasa.
Umeshaona kazi za balozi mfano ubalozi wa Italy , Denmark, Switzerland wametangaza kuwa watanzania waombe huko kazi. Unajua udhamini wa masomo huko duniani mtt wa mkulima anaipata kweli.

Yaani waafrika ubinafsi tu, tamaa ndio tunaweza , ukabila na udini yaani watu watauana mpaka mzungu arudie Tena kutawala. Yaani unateka mtu anayeongea kuhusu nchi yake na kumuua ili kuogopesha wengine wanyamaze ili waendelee kuliwa
 
The countdown begins kuelekea Desemba 09 💪🏽🇹🇿
#D9 #SamiaMustGo
IMG_20251113_205413_449.jpg

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥


🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
#freetanzania #tanzaniaIsBleeding #SamiaMustGo #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa #riseupTanzania
 
#MD9 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 #D9 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View attachment 3501412

Waafrika wenzangu Tanzania, nakutaarifu kuwa hii ni nafasi ya mwisho ya kurudisha uhuru wako, nakuandikia barua ya wazi #GEN_Z, mahususi kuonyesha madhara ya hatari utakayokumbana nayo katika utawala wa dikteta #Samia_Suluhu usiposimama kupambana na utawala huu katili ⚠️

9-December tunataka Pamoja tusonge mbele.

View attachment 3501412View attachment 3501413View attachment 3501414View attachment 3501415View attachment 3501416View attachment 3501417View attachment 3501418
FREEDOM IS COMING ON THE D9
 
Vijana fanyeni kazi! Hizi propanganda ni kujitakia umauti usio na ulazima! Serikali ilishaundwa hamna namna unaweza kuitoa madarakani acheni kujidanganya ndugu zangu
Unamtisha mwanadamu KIFO amba ho hata wewe huna ujanja wa kukiepuka?
Anyway tufafanulie jinsi Mzee Ali Kibao anavyoingiza pesa kwa kufanya kazi kwa bidii?
 
Vijana fanyeni kazi! Hizi propanganda ni kujitakia umauti usio na ulazima! Serikali ilishaundwa hamna namna unaweza kuitoa madarakani acheni kujidanganya ndugu zangu
Kazi zinafanyika kodi wanakula wengine wananchi wanabaki na madeni lukuki ya nje.
Umauti hata wewe utakufa, haki haiji kama oksijeni. Ni lazima ipambaniwe.
 
Mimi siungi mkono maandamano tena

Ningependa tuwasake mbwa wa serikali ya ccm mmoja baada ya mwingine na wao walie kama sisi

Lakin hii kuandamana ni kuwapa sifa tena
Utafanikiwaje kuwasaka iwapo huta - mobilize umoja wa watu kukusanyika pamoja kwa maandamano...?

Hiyo njia ya kuwasaka mmoja mmoja ni ya kijambazi na watakukamata na kukuua kama jambazi tu....

Mass mobilization (maandamano) ndiyo njia rahisi na sahihi japo nayo ina risks zake...

Sikia ndugu, kama kila mji mkubwa watatoka watu kati ya 10,000 tu hadi 100,000 (kulingana na ukubwa wa mji) na kuingia barabarani, there's no way serikali hii haramu inaweza kuhimili kishindo hicho hata kama wataamua ku-deploy polisi wote na Jeshi lote. Na hata usiwe na hofu. Hawa nao (Polisi na wanajeshi) wengi wao ni wenzetu, wameshachoka kupelekeshwa kwa amri za hovyo na za kijinga toka kwa wanasiasa watawala. Wako tayari kuasi na kujiunga na UMMA...!

Na ikitumika strategy kama ile iliyotumika kuanzia 29/10 ya ku - target mali za viongozi mafisadi wa CCM na washirika wao, familia za viongozi na watoto wao, majengo ya umma nk, wabunge na mali zao na familia zao, basi hiyo ndiyo italeta majibu ya haraka zaidi, tutawa - frustrate na kuombapo...

Hii serikali ni ya wahuni, wauaji na watesaji. Huhitaji ustaarabu unaoitwa "peaceful demonstration" ili kukabiliana nao. Tukabiliane nao hivyo hivyo kihuni maana ndiyo njia walioamua kuifuata. Sisi ni wengi mno kuliko wao. Na kwa kuwa wanaua, basi nao ni lazima waharibiwe vyote walivyonavyo na wauwawe vilevile ili waujue uchungu wa mauti na kufiwa na uwapendao...!!

Tunataka tusafishe nchi na taifa letu Ili tulijenge upya..!!

Tunajua wanaweza kutuua baadhi yetu 10, 50 au hata 1000 lakini nakuhakikishia, hili kundi lingine lililobaki la 9,000 au 99,000 likisonga mbele, tutatwaa ofisi zetu zote za UMMA ikiwemo ofisi kuu ya nchi/taifa i.e Ikulu zetu za Magogoni (DSM) na Chamwino (Dodoma)..

Tukifika hapo, tutakuwa TUMESHINDA NA TUTAKUWA TUMEWAFURUSHA HAYAWANI WOTE WA CCM!!

Muhimu ni kuwa mobilization na hamasa utolewe Ili watu watoke kwa maelfu ktk miji yote mikubwa nchini consistently kila siku.

Ikifanyika hivi, nakuhakikishia kuwa kila dai litapata jibu hata kama ni Rais kujiuzuru, tunaweza kumlazimisha kuachia ngazi na itakuwa hivyo kwa msaada wa Mungu. Amina🙏🙏..

Haitaanza kwetu. Imefanyika maeneo na ktk nchi nyingi duniani...

D#9 ni lazima Samia alazimishwe kuiacha ikulu yetu, ashitakiwe kwa mauaji (uhalifu wa kibinadamu) na tupate serikali ya mpito hata kama itakuwa chini JWTZ, ni sawa tu..!!
 
Vijana fanyeni kazi! Hizi propanganda ni kujitakia umauti usio na ulazima! Serikali ilishaundwa hamna namna unaweza kuitoa madarakani acheni kujidanganya ndugu zangu
Punguza ujinga wewe, serikali gani unayoizungumzia, iliingiaje madarakani na nani aliyeipigia kura, walikulipa kwa upotoshaji lakini umechelewa huo haukuwa uchaguzi hatutakubali kwamba utake usipende.

Kwa njia, kwa nini una wasiwasi kwanza

#MD9 #D9 🇹🇿 #SamiaMustGo
 
Back
Top Bottom