Huenda unapenda sana kubeba mizigo mgongoni..TUA huo MZIGO..sahau na samehe..tena na upo kwemye mwezi wenu mtukufu jamani??unashindwa nn kusamehe?
Ndio maana mimi napigaga msosi five stars hotels tu. Nikisikiaga njaa naibukaga dubai tu
Hapana chalii yangu naziba maskio tu na kupotezeaNa ukisikia kiu unaenda kununua ulanzi au dadi
Mkuu naona umeitoa ile avatar tuliyokwambia inatisha mda ulee 😂 😂 😂 😂Huenda unapenda sana kubeba mizigo mgongoni..TUA huo MZIGO..sahau na samehe..tena na upo kwemye mwezi wenu mtukufu jamani??unashindwa nn kusamehe?
Mkuu naona umeitoa ile avatar tuliyokwambia inatisha mda ulee 😂 😂 😂 😂
Hapana chalii yangu naziba maskio tu na kupotezea
Nini wewee mkaldayo jikite kwenye mada na ufanye kazi acha porojo jamviniNa baada ya kupotezea
Nini wewee mkaldayo jikite kwenye mada na ufanye kazi acha porojo jamvini
Sasa na iyo uliyoiweka sahivi inanifanya na mimi nachanganyikiwa 😂 inabidi uiondoeMshindwe kbs ....mn ile hoii nimeitoa shoga angu m1 anachanganyikiwa😂
Sasa na iyo uliyoiweka sahivi inanifanya na mimi nachanganyikiwa 😂 inabidi uiondoe
Kwangu mimi ukitaja neno CCM unanikumbusha machungu mengi sana...plizz hilo neno usilitaje tena unanikumbusha maumivu😎ww ni ccm au chdm?tuanziw hapa pia sio mby😊😊
Kwangu mimi ukitaja neno CCM unanikumbusha machungu mengi sana...plizz hilo neno usilitaje tena unanikumbusha maumivu😎
😂 😂 mkuu inamaana ningekuwa hicho chama cha watekaji usingeitoa...vipi na wewe washakujeruhi sana nini??If so natii ..nakutii kamanda wangu 😊😊 natoa
😂 😂 mkuu inamaana ningekuwa hicho chama cha watekaji usingeitoa...vipi na wewe washakujeruhi sana nini??
Ndefu km kamba