Jiwe alikua kauzu sana walahy

Ila jiwe alikua kauzu kinoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Mwanae Jesca alimnunulia IST second hand,, Watoto wenzake huku wanaPush Rolls-Royce Cullinan series II ya $ 400k.

#mdau kutoka mtandao wa X
Jesca alikua mwanafunzi,wenzake watu wazima wafanyabiashara
 
Dah aisee 🀣🀣🀣
 
Ila jiwe alikua kauzu kinoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Mwanae Jesca alimnunulia IST second hand,, Watoto wenzake huku wanaPush Rolls-Royce Cullinan series II ya $ 400k.

#mdau kutoka mtandao wa X
Huo ndiyo ukauzu au ujingaujinga?
 
Ila jiwe alikua kauzu kinoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Mwanae Jesca alimnunulia IST second hand,, Watoto wenzake huku wanaPush Rolls-Royce Cullinan series II ya $ 400k.

#mdau kutoka mtandao wa X

Kwa mentality hii ndio inasababisha watu wakipewa dhamana wawaibie watanzania wakitegemea mali watapata wajukuu na vitukuu vyao.
Mali ya dhuluma unaweza kurithisha mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…