babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hela zipi tena?mbona unakariri hizo hela unazotafuta wewe baba zako tunazo karne na karne na ndo mana ukazaliwa.Tafuta hela bro.
Haiwezi kuwa almas,yes ni umasikini tu,unajua tuna mawe mangapi ya Tanzania ambayo yanauzika?Daaah! Umasikini mbaya! Kwahiyo umetumiwa almas sio? 😂😂😂😂
Asante sana mkuu ,kidogo naona mwangaza.Obsidian-74
We angalia hilo jiwe,ukitaka kujua mkono ni upi njoo pm.Huo mkono NI wako?
Mawazo yako pia yanasikilizwa mjinga wewe km ulivyojiitaTupa haraka sana
Angalia jiwe hilo halijasafishwa huoni nini?Picha yako haionekani vizuri
Mkuu km hili dogo nimepata kiutani tu,ina maana yapo mengi huko.Madini yamegawanyika katika sehemu kadhaa, kuna madini yenye thamani zajuu na madini yenye thamani za chini.
Madini yenye thamani za juu ni maarufu kama diamond, gold nk haya huuzwa hata kwa kipande kimoja kidogo, kwa hela nyingi, lakini pia hayo madini yenye thamani ndogo huuzwa kwa bei ndogo na kwa kilo mpaka tani na kuendelea.
Sasa bwana hilo jiwe hapo hata tu kisema ni madini uwezi kuuza kwa sababu ni miongoni mwa madini yenye thamani bdogo na ili kuuza inahitajika upate kilo za kutosha zaidi ya hicho kimoja ulichonacho
Linaitwa MagufuliView attachment 3158282
Jiwe gani hili wakuu, nilikua natafuna karanga toka kanda yakati nikalikuta humo.
Nisije nikatupa neema Mungu amenitumia kimyakimya.
Ni rangi ya brown light ugoro kabisa,limechongeka pembetatu 🔻,gram si chini ya 25.
Wataalam njoeni hapa.
Hilo hata sh 1 haupati.litupe mizigo tu huo unabebaMawazo yako pia yanasikilizwa mjinga wewe km ulivyojiita
We ni mjinga tu km ulivyojiita akili yako imejaa mafimafi.Hilo hata sh 1 haupati.litupe mizigo tu huo unabeba