Jiwe gani hili?

Jiwe gani hili?

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
20241121_210032.jpg

Jiwe gani hili wakuu, nilikua natafuna karanga toka kanda yakati nikalikuta humo.

Nisije nikatupa neema Mungu amenitumia kimyakimya.

Ni rangi ya brown light ugoro kabisa,limechongeka pembetatu 🔻,gram si chini ya 25.

Wataalam njoeni hapa.
 
Daaah! Umasikini mbaya! Kwahiyo umetumiwa almas sio? 😂😂😂😂
Haiwezi kuwa almas,yes ni umasikini tu,unajua tuna mawe mangapi ya Tanzania ambayo yanauzika?
Hilo lilichanganywa kwenye karanga naweza kwenda kulipurifier wote mkaja kutoa macho.
Na nimeuliza wataalamu waliopo humu.
Sio nyie viruka njia wathread.
Wao watakuja
hapa.
Na kwa taarifa yako nimeshaangalia na najua uelekeo.
So kaa kimya.
 
Madini yamegawanyika katika sehemu kadhaa, kuna madini yenye thamani zajuu na madini yenye thamani za chini.

Madini yenye thamani za juu ni maarufu kama diamond, gold nk haya huuzwa hata kwa kipande kimoja kidogo, kwa hela nyingi, lakini pia hayo madini yenye thamani ndogo huuzwa kwa bei ndogo na kwa kilo mpaka tani na kuendelea.

Sasa bwana hilo jiwe hapo hata tu kisema ni madini uwezi kuuza kwa sababu ni miongoni mwa madini yenye thamani bdogo na ili kuuza inahitajika upate kilo za kutosha zaidi ya hicho kimoja ulichonacho
 
Mkuu km hili dogo nimepata kiutani tu,ina maana yapo mengi huko.
Nimeshaona yanawekwa pia kwenye pete na mikufu,actualy hili naenda kutengeneza kito au pete na cheni murua yangu mwenyewe.
Then kuna biashara tayari kuna mturuki anataka kilo au hata tani kadhaa.
 
Back
Top Bottom