Jiwe kutoka angani lamtajirisha ghafla mtengeneza majeneza

Jiwe kutoka angani lamtajirisha ghafla mtengeneza majeneza

Siku mbili hizi mfululizo kuna mawe yanarushwa juu ya bati ila sasa nikiamka sioni hata dalili sijui yanawahiwa?
 
Mimi nina jiwe la kujitibia na mambo mengine.
Yanaitwa crystal healing stones huota porini na huuzwa mitandaoni.
 
Hivi maoni ya watu humu yanasomwa na serikali? Mnaona sifa kuwa serikali katili dhidi ya raia wake?
 
Back
Top Bottom