Jiweke Imara kwa Tendo la Ndoa

Jiweke Imara kwa Tendo la Ndoa

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Hello Hello WanaJF

Wanaume! Kula hivi
Mwanamke mlishe mumeo/hawara/mpenzi

1.Supu ya maharage
2.Maziwa mtindi
3. Mtori
4. Kitunguu swaumu walau punje 5
5. Asali
6. Nafaka-mbegu za maboga, Karanga
7. Jogging au zoezi la kukimbia
8. Tambua vitu vinavyokutoa stress na kukupa tabasamu
9. Epuka magonjwa ya kujitakia UTI, Malaria, etc.
10. Kitunguu Maji, tangawizi, hoho
11. Tango ila usile na asali
12. Supu za mboga za majani.
13. Ubora wa afya yako
14. Mapokeo ya Mpenzi wako
15. Mvuto wa mwanamke iwe msambwando, Chuchu, lips, rangi,

Haya yanatosha meal planning kuhusu wanga, protein etc mlipie au watasaidia walokuzaaeni.

Jipende jipende jitunze jitunze
 
Hello Hello WanaJF

Wanaume! Kula hivi
Mwanamke mlishe mumeo/hawara/mpenzi

1.Supu ya maharage
2.Maziwa mtindi
3. Mtori
4. Kitunguu swaumu walau punje 5
5. Asali
6. Nafaka-mbegu za maboga, Karanga
7. Jogging au zoezi la kukimbia
8. Tambua vitu vinavyokutoa stress na kukupa tabasamu
9. Epuka magonjwa ya kujitakia UTI, Malaria, etc.
10. Kitunguu Maji, tangawizi, hoho
11. Tango ila usile na asali
12. Supu za mboga za majani.
13. Ubora wa afya yako
14. Mapokeo ya Mpenzi wako
15. Mvuto wa mwanamke iwe msambwando, Chuchu, lips, rangi,

Haya yanatosha meal planning kuhusu wanga, protein etc mlipie au watasaidia walokuzaaeni.

Jipende jipende jitunze jitunze
Wanawake hawa wa digitali wana muda huo kweli?,subutuuu!!!
 
Tafuta hela nguvu zitajileta zenyewe,hayo yote kama huna kitu vice mfukoni ni bure inaweza goma kusimama
 
Hapo lazima uvimbiwe badala ya nguvu za kiume utapata nguvu za kuharisha kutwa nzima.
 
Hello Hello WanaJF

Wanaume! Kula hivi
Mwanamke mlishe mumeo/hawara/mpenzi

1.Supu ya maharage
2.Maziwa mtindi
3. Mtori
4. Kitunguu swaumu walau punje 5
5. Asali
6. Nafaka-mbegu za maboga, Karanga
7. Jogging au zoezi la kukimbia
8. Tambua vitu vinavyokutoa stress na kukupa tabasamu
9. Epuka magonjwa ya kujitakia UTI, Malaria, etc.
10. Kitunguu Maji, tangawizi, hoho
11. Tango ila usile na asali
12. Supu za mboga za majani.
13. Ubora wa afya yako
14. Mapokeo ya Mpenzi wako
15. Mvuto wa mwanamke iwe msambwando, Chuchu, lips, rangi,

Haya yanatosha meal planning kuhusu wanga, protein etc mlipie au watasaidia walokuzaaeni.

Jipende jipende jitunze jitunze
Acheni Kutudanganya kwa Maisha ya sasa ukiwa huna Hela na Mawazo kibao ya Kuipata Ufanisi huwa ni 1% tu ila hizo 99% zote hamu hutokuwa nayo na Uume utakuwa Unadinda kwa Kukudanganya tu ila mara nyingi utakuwa Unasinyaa.

Mwanaume ukiwa na Hela huku ukiwa na Mafanikio yako ( hata kama siyo makubwa ) kivile unaweza Ukagegeda hata Wanawake Watano ( 5 ) tofauti tofauti kwa Siku na wala Usichoke na bado uume wako ukawa Unaupiga mwingi tu.

Huu ndiyo Ukweli mengine Uwongo!!!!
 
Duu, ingekuwa rahisi vile, vibao vya waganga wa nguvu za kiume toka Sumbawanga na Kigoma visingekuwepo.

Kwa ufupi tu.

Matangazo ya nguvu za kiume mengi yapo barabara za AH. Mwinyi, Kibaki, Bagamoyo na kama hizo za upande huo. Ikionesha wenye ukwasi ndio wana hii shida. Hapa tatizo sio pesa. Shida ni nidhamu ya Lishe, aina ya vyakula, stress na pia vipao mbele. Usifikiri kila mtu ana haja na hayo maguvu ya kupanda wanawake au kuzini.

Ukipita barabara ya Morogoro, Mandela, Uhuru, Gongo la Mboto, Mbagala utaona kumrudisha mpenzi, kuita alie mbali, hela ya freemason. Huku tatizo la nguvu sio shida kwani wengi hawana uchaguzi wa vyakula kwahiyo nidhamu ya kula haihitajiki, watoto ni wengi na starehe pekee waliyo nayo ni ngono kwa hiyo nguvu zinahitajika sana waweze kupandana au kuzini.
 
Nidhamu na mpangilio mzuri wa chakula na mazoezi ni muhimu Sana...pesa pekee haisaidii.
 
Back
Top Bottom