Jiwekee Malengo yatakayokufanya uamke asubuhi kuyatimiza

Jiwekee Malengo yatakayokufanya uamke asubuhi kuyatimiza

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Nafahamu kuwa kila mtu ana malengo yake.

Lakini watu wengi wameshindwa kutimiza malengo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kusubiri kusaidiwa ama kushikwa mkono na watu.

Hata Serikali huwa inasaidia pale ambapo wananchi wameonyesha nguvu zao hasa kwenye kata.

Wewe umeonyesha nini au umefanya nini ili usaidiwe ama una kazi ya kulalamika tu.

Unayemuomba msaada atapata nguvu atakapoona umefanya kitu na sio kukaa nyumbani na kujiinamia eti una mawazo.

Amka katafute cha kufanya utakaa ndani hadi lini.

Utakapoamua kufanya milango ya baraka itafunguka.
 
Back
Top Bottom