Hamjambo!
Bado najiuliza nini kinaendelea.
Wanaopanga na kuchochea maandamano kisaikolojia hawatishwi na mtu yeyote Yule isipokuwa vyombo vya Dola.
Fikiria watu wanaomtukana Rais, amiri jeshi Mkuu, wanaotukana viongozi wa serikali,
Hivi hao watu watatishwa na Sheikhe Mwaipopo kweli?
Sheikhe...
Wakuu Juni ndo hiyo inakaribia kukata tayari tumemaliza miezi sita ya mwanzo! Muda hautusubiri na umri unasonga. Huu ndio wakati muafaka wa kusimama na kujitathmini.
Jikague Haraka:
Zile ahadi za Januari zipo hatua gani?
Kuna tabia zozote zinazokurudisha nyuma?
Ufanye nini tofauti ili kutusua...
FAMILIA YA WAHHABI NA NGUVU YA ILLUMINATI KWENYE DINI YA KIISLAMU ILI KUTIMIZA MALENGO YAO.
Illuminati walikuwa hawamtaki tena Shah, na Khomein ndiye aliyekuwa kibaraka wao mpya. Akiwa hapo alipokea msururu wa wageni kutoka BBC, CIA na kutoka kwenye shirika la kijasusi la Uingereza. BBC wakawa...
Unapokuwa unataka kutimiza Malengo fulani.
Mfano, kitaaluma , kibiashara , uwekezaji , kikazi, Ndoa .
Hakikisha kwanza hauweki deadline au ukomo wa lini , mwezi gani au mwaka gani.
Kwakuwa in this life so many things are uncertainties .
Mambo mengi hayatabiriki kimaisha .
Ili kuondoa stress...
Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni;
Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Mh. Mbowe katika miaka yote hakuna alichotimiza hata kimoja. Kama kiongozi wa taasisi unaposhindwa kutimiza...
Nafahamu kuwa kila mtu ana malengo yake.
Lakini watu wengi wameshindwa kutimiza malengo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kusubiri kusaidiwa ama kushikwa mkono na watu.
Hata Serikali huwa inasaidia pale ambapo wananchi wameonyesha nguvu zao hasa kwenye kata.
Wewe umeonyesha nini au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.