Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Wakuu Juni ndo hiyo inakaribia kukata tayari tumemaliza miezi sita ya mwanzo! Muda hautusubiri na umri unasonga. Huu ndio wakati muafaka wa kusimama na kujitathmini.
Jikague Haraka:
Jikague Haraka:
- Zile ahadi za Januari zipo hatua gani?
- Kuna tabia zozote zinazokurudisha nyuma?
- Ufanye nini tofauti ili kutusua miezi 6 iliyobaki?
Msisitizo Wangu: > Nusu mwaka kupita sio kufeli; ni kengele ya kukuamsha. Weka umakini (Focus), epuka mambo ya kupoteza muda, na kama inabidi, usisite kubadili mipango yako (hamisha goli) ili mambo yaende. Pambana!