Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

si kila mtoto wa mtaani unaemuona hatunzwi!!
Wengine n wale walioshindikana!! hataki shule hatak kazi hatak kufuatiliwa hatak adhabu anakimbilia mtaani
 
Nafikiri 😅

Ngoja nimalizie soga na wavuta bangi wenzangu hapa nisijetoa maneno ya bwana kijiweni ,ni kinyume cha utaratibu wa wahuni wa tandale.
Sio somanjiro tena 😆, ndo kutaka uone kane mhuni, kumbe hata kushika kiberiti huwezi 😆🤣
 
Hapana sio hiyo,unapenda kuzozana kijana.....kama hujaiona ndio basi hivyo ila ni ya jirani nimeazima nijifunzie kucharaza maneno kwa kicharazo chake maana nasikia wacharazaji vidole vyao ni hatari sana kuchezea ikulu za warembo.
Aisee now I can see the real work of the devil😆.
Una waza ikulu za Wanawake, akati uli sema we ni cousin wa Jesus 😆.

Una sahau Jesus died as a virgin 🤣
 
your brain has two sides, Left and right.
In the left there is nothing right, in the right there's nothing left😂😁
With a face like yours ya kulialia uji🤣who needs brains?But at least you make a good pair ..... your looks and wits yenye imerojeka kama uji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…