Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Nimepata habari kwamba leo hii Jk alikuwa anahutubia eneo la Kipunguni Moshi Bar jijini Dar na ilipofikia kusema wangapi watampigia kura? Wachache mno walionyesha mkono juu!
Bye Bye JK, mwanakwetu. Pengine it's not your mistake -- ni wapambe wako wanaokudanganya.
atapigiwa kura na waandishi na wasomaji wa alhuda na annuur!
kheeee mwaka huu anapiga kampeni mpaka kipunguni??uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
jamani lipumba yuko live atn televison asa ivi
tupashe aliyosema profesa wa uchumi huyu mimi namwamini na hakika kura yangu anastahili kupata wengine wasanii tu!!!!!