Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
JK amesema CCM watashinda uchaguzi na kuendelea kushika dola baada ya kufanya tathmini wakati akizunguka nchi nzima kwenye kampeni kwa sababu wanakubalika(Mwananchi 20 Oct. 2010). Tathmini yake katumia vigezo gani hata hasemi? Sasa mbona kampeni zenyewe za kubeba watu? Mbona kampeni zinajumuhisha na watoto wa shule za msingi? Mbona kwingine yeye na wagombea ubunge wamekuwa wakizomewa mfano Bukombe?