N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 560
Mhh mi sisemi, No Comments
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Riz alivyotoa mijicho,na anavyoonesha sura ya upole,ni kama haamini anachokiona.
Hivi zilitolewa Bil 3 tu? maana sina imani kabisa na wabongo watu wanaweza kujenga magorofa kwa ujio wa Brazil tu mnasikia bil 3 kumbe zimepigwa bil 5...Tanzania ni uvundo tu!!Ni kweli Ubungox2
Bora tumeiona Brazil kwa hizo Bil 3 hata kama zingekuwa Bil 7 pouwa tu kwani mafisadi wanakula ngapi bana na tumekaa kimya tu na tunawapigia kura tena. Ileteni na Arsenal kama inawezekana