Huyu mtu hivi ashauriki au ni ubishi wake tu? si tulimwambia kipindi kile alivyowapa zawadi Drogba na kina Kolo kwamba hio style sio uungwana kwani wachezaji wote waliokuja wana wakilisha timu ya taifa na nikuwavunjia heshima wengine unapowatenga.
Yeye ni raisi sasa hizi zawadi anavyozibagua inaonesha katoa zawadi kiushabiki wake binafsi.Angewapa vinyago wachezaji wote hao wakaweke nyumbani kwao hili marafiki zao wanapokuja waweze kuitangaza nchi kwa kusema "kinyago nimepewa Tanzania" sasa kaenda kumpa KAKA tu.