Elections 2010 JK alianguka tena jukwaani Sengerema na Mbeya?

Elections 2010 JK alianguka tena jukwaani Sengerema na Mbeya?

Sasa naanza kuamini nilisikia kaanguka tena na tena nikadhani ni utani..apumzike tu jamani miaka 5 inamtosha.
 
Afya Mbovu.jpg
 
wenzako bado hawaamini....................mpaka ije gharika.....
Sasa naanza kuamini nilisikia kaanguka tena na tena nikadhani ni utani..apumzike tu jamani miaka 5 inamtosha.
 
tehe....tehe............te...te....teeeeeeeeeeeeee......kwa hiyo unamaanisha tuna rais mdoli?

Ooooooopsss, jamani!! ina maanisha Rais wetu handsome ni mwanasesere???
 
Mbona mimi nina ngoma lakini sidondoki? au yeye karogwa?

Hata mganga wake Sheikh Yahya anasema hivyo hivyo kuwa karogwa na kina Slaa na Lipumba. Ila wanasema ana dege dege sijui kweli? TEHE TEHE TEHE !!!!!!!!!!!
 
Yawezekana kwani 2005 alidondoka na Iringa kutokana na maelezo ya wakazi wa Iringa walioshuhudia kampeni zake!
 
kuenddelea kudororra kwa afya ya kikwete dr, ni furaha iliyo je kwa rostam la aziiz na lowasa, hawa wanasubiri kwa hamu kama vile fisi anavyosubiri mkono wa binadamu udondoke.
 
Naunga mkono Jk apumzishwe kwa kunyimwa kura ili ashughulikie afya yake. After all, ametawala kipindi kimoja tu, kama afya yake ikiboreka, na CCM wakawa bado wanamthamini, watampendekeza kugombea mwaka 2015. Hii ni nchi yetu, kwanini watu hawaoni kuwa ni tatizo kuweka madarakani mtu mginjwa tena sana? mimi nawasihi sana watanzania tufanye maamuzi ya kumchagua dr. Slaa aikomboe nchi na matatizo yaliyopo.

TUKUMBUKE TANZANIA NI YA WATANZANIA SIYO YA CCM, NA SIYO KILA MTANZANIA NI MWANACCM:glasses-nerdy:
 
Hivi Muungwana alianguka tena jukwaani huko Sengerema na Mbeya? Katikati ya tuhuma za ukwapuaji mabilioni ya shilingi kutoka Hazina na Benki Kuu kwa kutumia makampuni ya kitapeli kama Kagoda Agriculture Limited, nani anategemea wananchi wawe na hamu kubwa ya kusikia uvumi kuwa rais wao ameishiwa nguvu tena na kudoindoka huko Sengerema na Mbeya.Hii haina maana kuwa hayo hayastahili kufahamika; bali vipaumbele vya wakati uliopo vinalazimu hayo yatajwe na kuachwa ili akili na nguvu za wananchi vielekezwe katika kupagania uhuru, haki na ustawi wa jamii zao na mustakabali wa taifa

Wakuu nasharia tusije kuwa tunajadili uzushi na kuuamini.

Japo simkubali JK lakini naweza kushuhudia kuwa atleast kwa mkoa wa Mbeya, JK hakudondoka wala kuishiwa nguvu jukwaani.
 
Katika hili naanza kutilia shaka pia uwezo wake kiaakili kama anaweza kufanya maamuzi sahihi! Tunaweza kuwa tunaona smiling face kumbe ni picha tu!

Hata mganga wake Sheikh Yahya anasema hivyo hivyo kuwa karogwa na kina Slaa na Lipumba. Ila wanasema ana dege dege sijui kweli? TEHE TEHE TEHE !!!!!!!!!!!

Naomba wataalamu wa magonjwa ya kifafa na degedege waje watueleze kwamba haya magonjwa yana athiri vipi Oblangata... maana kila unapodondoka unapata effect kumkichwa... Eliphaz u r right... this thing affects the brain... jamaa sijui status ya ubongo wake ikoje, labda imeshakaa upande...:confused2:
 
Rais wa nchi ni Key Resource isiyohitaji kuchezewa hata kidogo ndugu zangu, nimesoma maoni mengi juu ya tukio hili
kubwa la Rais wa nchi kuanguka hadharani, Gharama za kurudia uchaguzi ni kubwa sana, ukitaka kujua fanyeni hesabu
hii, mgombea urais 150b zidisha kwa idadi ya wagombea, jumlisha na wabunge na madiwani wote, ni zaidi ya trioni
3, hela ambayo ingejenga hospitali kibao, Rais ni Uchumi wa Nchi. Naikumbuka vizuri makala ya mwandishi maarufu P.Karugendo ya mwaka ule
wa uchaguzi wa 2005, ilipotolewa hoja ya wagombea kupima afya zao, aliandika, nani bora zaidi kati ya Fisadi na mwenye
Ukimwi, alichambua zaidi, hoja hii ilikuwa sahihi kwa wakati ule ila kwa sasa napingana na hoja ile maana baada ya miaka
5 tumeona kazi ya Serikali inayopita........

Sasa tuchague mchapa kazi na mcha Mungu Dr Slaa.....
 
Back
Top Bottom