Rais wa nchi ni Key Resource isiyohitaji kuchezewa hata kidogo ndugu zangu, nimesoma maoni mengi juu ya tukio hili
kubwa la Rais wa nchi kuanguka hadharani, Gharama za kurudia uchaguzi ni kubwa sana, ukitaka kujua fanyeni hesabu
hii, mgombea urais 150b zidisha kwa idadi ya wagombea, jumlisha na wabunge na madiwani wote, ni zaidi ya trioni
3, hela ambayo ingejenga hospitali kibao, Rais ni Uchumi wa Nchi. Naikumbuka vizuri makala ya mwandishi maarufu P.Karugendo ya mwaka ule
wa uchaguzi wa 2005, ilipotolewa hoja ya wagombea kupima afya zao, aliandika, nani bora zaidi kati ya Fisadi na mwenye
Ukimwi, alichambua zaidi, hoja hii ilikuwa sahihi kwa wakati ule ila kwa sasa napingana na hoja ile maana baada ya miaka
5 tumeona kazi ya Serikali inayopita........
Sasa tuchague mchapa kazi na mcha Mungu Dr Slaa.....