JK alikuwa anamaanisha nini?

Anajikuna kitu kwa mkono wa kulia..hivyvo anazuga kwa kuwaonyesha watu vidole viwili.....
 
Alitaka kuonyesha ile ishara ya freemasons lakini ghafla akagundua kuna mapaparazi, ndio ikabidi azuge kama anaonyesha V.
 
Kwanini tusiwaibie na hii alama maana nzuri kweli kweli.
 
Kwanini tusiwaibie na hii alama maana nzuri kweli kweli.

Hahaa haaa wataweka zote mbili au jembe na nyundo watazitoa? Lakini walivyowachakachuaji wanaweza kuiba mpaka bendera wakaandika CCM badala ya CHADEMA, si unakumbuka jimbo la Karatu walisimamisha mgombea asie na sifa kwa sababu jina lake ni SILAA
 
Anajiuliza...
Hivi nitamaliza miaka 2 kweli bila kuzamisha meli??
 
hapo naona kama anawaza kuwa kati ya tundu lisu na dr. slaa nani mkali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…