William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Utajili wa Dangote ni mkubwa Sana kwa Afrika. Kwa uwekezaji wake wa kiwanda kimoja tu Cha cement alifanikiwa Sana kuukuza uchumi na kupúnguza Bei ya cement na kuikuza sekta ya ujenzi Tanzania.
Ila Kuna ili jini la sasaivi tajili lisiloshikika duniani Mtengenezaji wa gari la umeme Tesla na Meneja Mwandamizi wa SpaceX Elon Musk.
NI mtu mwenye interest Sana na uundaji wa vyombo vya usafiri, Vifaa vya umeme Yani betri za magari ya kuchaji na magari hurushwa vyombo vya kwenda Anga za mbali ambaye anawaza kufanya uwekezaji Mars.
Nadhani ni wakati muafaka Rais atumie Wanadipromasia wabobezi wamshawishi badala ya kuwaza kwenda Mars kuwekeza awekeze Tanzania kwenye treni ya umeme, uzalishaji umeme ata wa nyuklia na kuuza Afrika yote. Tanzania ni sehemu salama Sana na ipo karibu na keki ya dunia Kongo mwali aliyegombaniwa na mabeberu tangu na tangu.
Kwa wasiomjua mtu huyu utajili wake akiutumia kwa asilimia 5% tu anajenga reli yote ya umeme Dar to Mwanza mpaka Kigoma standard ya umeme. Utajili wake ni Mara ishirini ya Dangote na anachotafuta Sasa NI kufanya kitu ambacho akuna billionea anaweza au kuwaza kufanya.
Basi kitu icho kiwe NI kuifanya Tz kuwa Marekani mpya. Utajili wake akiuuza wote anaweza kulipa mshahara wa Sasa wa watumishi wa Uma wa Tanzania kwa miaka 60 ndipo zinaisha.