Elections 2010 JK 'alivyofunika' TABORA

hivi huyu jamaa haoni aibu kutoa ahadi ambazo kama kweli atatekeleza nusu tu..! inchi hii itakuwa kama ulaya..!

acha kudanganya watu..! flyover za dar zimekushinda unaomba msaanda...! barabara zote ni pesa za walipa kodi wa ulaya..!
 
Watajibeba mwaka huu
 
Kwa nnavyomfahamu JK atakuwa hana raha kabisa na the look of things, uzuri wake anawajua wapambe wake kuwa huwa hawamwambii ukweli!!!!!!!
 
Wakuu, msi-underestimate hii mbinu ya kuwabeba wananchi kwenye malori na mabus kutoka vijijini kwa sababu (si kwamba nawadharau wa vijijini) lakini ni priviledge ya aina yake kupewa jezi na kupakiwa kwenye malori ama mabus kwenda mjini kumuona Rais wa nchi ama mgombea wa CCM. Wapo watakaompigia kura kwa ajili hiyo! Ni sawa na ile ya mabango pia wapo watakaopiga kura kufuatana na sura waliyoiona kwenye mabango. Hizo ni mbinu za CCM baada ya kuelewa kwamba bila mbinu za kughilibu wataula wa chuya!
 
bwa ha ha ha ha, Kiranga yuko wapi when you needed him most
 
misukuma ilivyo mijinga inapiga makofiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaa iksubir..aijiuliziii alikuwa wapii miaka yoooooteeeeeeee
 
Mzee wa ahadi....Utekelezaji mhhhhhh..!
 
I don't see anything wrong with the idea of having at least one university for every region in Tanzania.
I'd like this one to be called "SHINYANGA AM UNIVERSITY" or SHINYANGA TECH. UNIV (STU) specializing in Geological studies, Biotech, Fishery and mining engineering due to its proximity to the Geita and Mwadui mining sites as well as Sangara fishing industry in the lake Nyanza basin. I do not wanna see any social, arts or liberal studies....only Science and Tech.
Go JK
 

This is not India my Bro!!!!
 
mimi nilifikiri atawaahidi kuboresha elimu yao kwani kwenye ligi table ya kitaifa wako karibu ya mwisho kama sio wamwisho, sasa hawa watu ukiwawekea chuo kikuu ili iwaje wakiangalie? maana alama za kuwaruhusu kuingia chuo kikuu hawana.
 
mmmm nina wasiwasi na huyu jamaa inabidi apimwe mana ahadi zimezidi,wakati maisha bora bado
 
kuhusu barabara kwani hakuna mipango miji, mpaka wasubiri viongozi??? kama kweli wamalize tofauti zao?
 
Inaelekea kikwete anawapenda sana watu wake. Lakini kwa ahadi hizi aangalie asije akaombwa asiloweza naye akawa kama alivyofanywa yohana mbatizaji
 
misukuma ilivyo mijinga inapiga makofiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaa iksubir..aijiuliziii alikuwa wapii miaka yoooooteeeeeeee

Rafiki taratibu. Kwanini unatutukana? Jifunze kuchangia hoja kwa ustaarabu. Kila mahali wako watu wa ndiyooooo, lakini nasema hatudanganyiki mwaka huu.
 
mimi nilifikiri atawaahidi kuboresha elimu yao kwani kwenye ligi table ya kitaifa wako karibu ya mwisho kama sio wamwisho, sasa hawa watu ukiwawekea chuo kikuu ili iwaje wakiangalie? maana alama za kuwaruhusu kuingia chuo kikuu hawana.

Rafiki una data za mwaka gani wewe? Ilikuwa zamani. Hivi sasa wasukuma tunasoma aisee, acha kabisa.
 
misukuma ilivyo mijinga inapiga makofiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaa iksubir..aijiuliziii alikuwa wapii miaka yoooooteeeeeeee

Wewe ngedele watake radhi wasukuma.Ni wapi jemedali wenu kaanza kuzomewa kama si kwa wasuma Shinyanga? Kwingine kote mlikuwa mnamlea kamaaaa--nanihiiiii.Nilitaka niandike neno la aibu juu yako nimekumbuka wewe ni mwanaJF .Jifunze kuanguka jamvini si kuingia kama Riziwani alivyoingia iring ana kutolewa Benzi.Tafakariii njomba utabaainiii tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…