kwani anaumwa nini
kwani anaumwa nini
Umejuaje amelipiwa na JK.
Taarifa nilizozipata hivi punde Nikiwa hapa mjini Dodoma kutoka kwa source ya kuaminika ni kuwa Agustino Mrema amepelekwa Nchini India kutibiwa .
Aliyemsafirisha ni Rais Jakaya Kikwete.
My take;
Ndio maana alikuwa anampigia filimbi JK kumbe alikuwa anataka kupata malipo?
Akirudi anaweza naye kuwa mtabiri kama Sheikh Yahaya,juu ya urais wa JK?
Amelipiwa gharama zote na JK ,na hapa sisemi kuwa ni serikali no. Ni JK personaly ndio amelipia gharama zote kuanzia tiketi ya ndege hadi matibabu yake yote akiwa huko.
Kwani Yahaya Hussein na Mrema... si wote watu wa TISS, sasa tatizo nini wakilipiwa matibabu...!? Wote si wapo kwa ajili ya kuendeleza utawala wa chama tawala?Ndio maana alikuwa anampigia filimbi JK kumbe alikuwa anataka kupata malipo?
Akirudi anaweza naye kuwa mtabiri kama Sheikh Yahaya,juu ya urais wa JK?
Kwani Yahaya Hussein na Mrema... si wote watu wa TISS, sasa tatizo nini wakilipiwa matibabu...!? Wote si wapo kwa ajili ya kuendeleza utawala wa chama tawala?
Habari ndio hiyo mkuu...! Ooh!Hii kali ya mwaka!!!