JK anaharibu hadhi ya elimu kwa kujiita Dr. wakati siyo, pamoja na wanasiasa wengine

JK anaharibu hadhi ya elimu kwa kujiita Dr. wakati siyo, pamoja na wanasiasa wengine

wivu wakijinga na uvivu wakufikiria. Lete mada zamaana humu, udokta wa Rais kikwete unakuwasha nini wewe *****. Acha ushamba. we want constructive tipics here.

I tell you this is very constructive...than anything else...

jamani Julius Nyerere alitunikiwa shahada nyingi sana za udaktari wa heshima wa falsafa (zaidi ya 20). Mkapa nanye hivyo hivyo. Mwingi naye hivyo hivyo, moja au mbili. Wote hawa hawajitukuza na kujiita Drs. Sijatahi kusikia Dr. Nyerere, au Dr. Mkapa, au Dr. Ali Hassan Mwinyi. Imekuaje kwa JK kujiita Dr. sawa na Dr. Bilal ambaye ameisotea PhD yake??? Pia wapo wanasiasa wengine kina mary nagu, kina mama lwakatare. sii vizuri kutuma elimu feki kama mtaji wa kisiasa.
Tafadhali ikulu na vyombo vya habari hacheni mara moja kumwita kikwete Dr pamoja na wanasiasa wengine, wakitaka waende darasani kama Dr. Magufuli, mnaharibu maana na dhamani halisi ya elimu. This is too dangerous for the young nation such as our

Why Do u think this is too dangerous, where is a danger Mkuu?

Hili ni swala la kitaifa. weka ukereketwa wako pembeni. tumia akili vizuri na tazama swala hili kwa utaifa zaidi. Ondoa mawazo ya ki ccm au ki CDM, ki CUF. Tazama swala hili kama msomi na mtu mzalendo. Kama rais na kiongozi wa nchi ktk jamii haifai kabisa kujiita Dr. wakati siyo. Tutamdharau sana sisi tuonajua maana ya Dr ni nini?? Kwa maana nyingine PhD holders wote wa tanzania tutamdharau maana anatumia siasa ili apate cheo ambao hastahili. Hii ni namna nyingine ya Ufisadi. Kutafuta heshima na dhamani kisiasa kwa kutumia kiwango cha elimu ambacho huna.

There are different types of Doctorate/PhD. Degrees:

• Research doctorates; awarded in recognition of both mastery of research methods and academic research that is ideally publishable in an academic journal.
• Higher doctorates; in some countries In some countries there is a higher tier of research doctorates, awarded on the basis of a formally submitted portfolio of published research of a very high standard.
• Professional doctorates; awarded in certain fields where most holders of the degree are not engaged primarily in scholarly research, but rather in a profession, such as law, medicine, pharmacy, music or ministry.
• Honorary doctorates; when a university wishes to formally recognize an individual's contributions to a particular field or philanthropic efforts, it may choose to grant a doctoral degree honoris causa.
Source: www.educations.com/Doctorate_PHD_Degree_d2196html

Udaktari wa heshima mtu hujiita Dr., haipo duniani. Wewe ulishawahi kusikia Dr. Mandela, Dr. Nyerere, etc.....inabaki kuwa heshima tuu. Tuache siasa tanzania, tutaharibu nchi.

Tuangalie maslahi ya taifa kwanza. wengi ni waroho wa madaraka. watumia Dr. kama njia ya kuaminiwa na jamii ili wapewe madaraka. wengine watatumia udini yote haya ni kukosa utaifa wa dhati. Inaudhii!!

Mwambieni pia na Dr. Slaa

Nimepata habari za uhakika kabisa kwamba Dr.Slaa mbali n Phd yake ambayo wengi wanadhani ni fake pia ni daktari wa macho .Ndiyo alifanikisha kuwepo CCBRT pale Dar .Kulia na Slaa unapoteza muda wako shule yake imenyoka .

acha uzushi.Huo udaktari wa macho kasomea wapi na lini?kuwa daktari wa macho unafikiri mchezo!

Jibuni swali. Anajiita au anaitwa?

Swali lako halina logic yoyote katika mazungumzo ya kawaida. Wewe ulishawahi sikia mbunge au hakimu anajiita ("mimi mheshimiwa hakimu Nyani ngabu au Mimi Mheshimiwa MP, Nyani ngabu"?. Kawaida watu ndio wanamwiita kama yeye wangejua wanakosea kumwita nangepiga marufuku asiitwe hivyo. Mbona Mkapa aliwahi pia marufuku asiitwe Mtukufu wakati wa utawala wake?.

Mantiki ipo sana ila wewe huioni. Kujiita si lazima ujiite kwa maneno ya sauti. Benjamin Mkapa alipoenda kutoa rambirambi kwenye daftari la rambirambi ubalozi wa Japan alisaini Ben Mkapa, raisi wa Tanzania '95-05. Vivyo hivyo, kama una ndugu mwenye PhD angalia jinsi anavyosaini correspondence zake.

Na umesoma chuo kikuu wewe? Siku ya kwanza darasani mwalimu anajitambulishaje?

Nyaningabu unanishangaza sana are serious?. Hiyo thread ya Mkapa kujiita rahisi wa Tanzania 95-05 ilijadiliwa na ilijibiwa vizuri sana. Mpaka alikuwa right kwani alionyesha Interval ya kipindi alichokuwa Rais na inaonyesha wazi kuwa alikoma kuwa Rais 2005. Ni sawa na kujiita former president of Tanzania. Sasa kwa nini Mkapa alivyokusign Kitabu pale ubalozi wa Japani hakuandika (Dr Ben Mpaka rais wa Tz 95-05).
Sasa huko Udaktari wa Kikwete tuiiteje? au ni a.k.a. Mimi naona ni ulimbukeni tu. Kwani yeye ndio wa kwanza kupewa. Kama angekuwa hajiiti angewapiga marufuku wasaidizi wake wasimwiite hivyo. Walimu wa chuo wanajitambulisha kama madaktari au Prof kwa kuwa wanadeserve ndio maana wanakuwa na confidence ya kujitambulisha hivyo. Do you think Kikwete can even dare to introduce himself as Dr in public?. Kama ndio hivyo hata Ridhiwani anaweza kuwa Chif wa wanyakyusa kwa kuwa tu alipewa uchifu kule Mbeya.

Nyaningabu unanishangaza sana are serious?. Hiyo thread ya Mkapa kujiita rahisi wa Tanzania 95-05 ilijadiliwa na ilijibiwa vizuri sana. Mpaka alikuwa right kwani alionyesha Interval ya kipindi alichokuwa Rais na inaonyesha wazi kuwa alikoma kuwa Rais 2005. Ni sawa na kujiita former president of Tanzania. Sasa kwa nini Mkapa alivyokusign Kitabu pale ubalozi wa Japani hakuandika (Dr Ben Mpaka rais wa Tz 95-05).
Sasa huko Udaktari wa Kikwete tuiiteje? au ni a.k.a. Mimi naona ni ulimbukeni tu. Kwani yeye ndio wa kwanza kupewa. Kama angekuwa hajiiti angewapiga marufuku wasaidizi wake wasimwiite hivyo

Kama yeye hajiiti wala kujitambulisha hivyo, kwa nini wengine wamuite hivyo? Mimi nawalaumu wote wanaomuita hivyo, mwisho wa habari, nukta, .

Waache kumuita tuone kama atalalamika. Huo udokta wenyewe hakuuomba. Au aliuomba?

kama mnakerwa na PhD ya mtu mngeweza kutuma malalamishi yenu kwenye vyuo husika, mimi sioni kwanini watu wanalalamika,
wangapi wana PhD lakini wanashindwa ku fit kwenye jamii? wengine ni MaProf lakini unaweza kumkuta bar anachezewachezewa na barmaid na ametelekeza familia yake.

PhD ya JK ni genuine PhD kama wengine, kuilalamikia ni kupoteza muda. kuna watu wengi wenye PhD feki, hao ndiyo wangeweza kujadiliwa

Huu ni wendawazimu, kama alipewa hiyo tuzo baada ya kufanya usuluhishi si apewe cheo cha msuluhishi, au hata uhakimu, kwa nini udaktari wa heshima?
Yaweza ikawa alimtunuku alipewa ccd kwanza.
Si ndio hapo anadhani mtu anaweza akajiita tu kama wale waganga wa kienyeji .. jk Alipewa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dk.Harris Mule kutokana na mchango wake na jitihada zake za utatuzi wa migogoro kwa nchi za Afrika hasa mgogoro wa Kenya uliozuka baada ya uchaguzi.

Udaktari wa heshima mtu hujiita Dr., haipo duniani. Wewe ulishawahi kusikia Dr. Mandela, Dr. Nyerere, etc.....inabaki kuwa heshima tuu. Tuache siasa tanzania, tutaharibu nchi.

kwako doctor ni Padri tu.ingawa hatujui ni udaktar wa nini.achen chuki na ufupi wenu wa fikra.mbona mnataka kumtangaza Nyerere kuwa mtakatifu na watu hawahoji? Hiki n cheo cha heshima acheni chuki zenu.

253889_1887006532518_1162052085_31931748_2886305_n.jpg

Anaitwa Mhe. Kanali Mstaafu, Dr. (Heshima - UDOM & Uturuki University) Jakaya Mrisho Kiwete.

UDOM-wamempa kwa sababu ya woga , wengi pale ni rafiki zake na yey ndio kawaweka
Turkey UNIVERSITY-Kawafanyia nini hawa waturuki? au kafanya nini hapa Tanzania hadi wakaamua kumpa?

Nadhani anahitaji hiyo title that's why watu wanaomaddress wanajikuta ni lazima waitumie. Mkapa pia anadoctorate ya heshima kama ya Kikwete lakini hakuwa addressed as Dr. mpaka sasa, so the dude likes that title

Mantiki ipo sana ila wewe huioni. Kujiita si lazima ujiite kwa maneno ya sauti. Benjamin Mkapa alipoenda kutoa rambirambi kwenye daftari la rambirambi ubalozi wa Japan alisaini Ben Mkapa, raisi wa Tanzania '95-05. Vivyo hivyo, kama una ndugu mwenye PhD angalia jinsi anavyosaini correspondence zake.

Na umesoma chuo kikuu wewe? Siku ya kwanza darasani mwalimu anajitambulishaje?

Nakubaliana na sehemu ya maoni yako.

Tatizo lipo kwa kiongozi mwenyewe, nimenong'onezwa kuwa JK alitoa instructions kwa wasaidizi wake awe addressed kama Dr JMK.

Hata hivyo kama amependa iwe hivyo kuna ubaya gani wakati inajulikana kuwa ni digrii za mgao?

Back
Top Bottom