mabadilikosasa
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 379
- 85
- Thread starter

- #21
wivu wakijinga na uvivu wakufikiria. Lete mada zamaana humu, udokta wa Rais kikwete unakuwasha nini wewe *****. Acha ushamba. we want constructive tipics here.
jamani Julius Nyerere alitunikiwa shahada nyingi sana za udaktari wa heshima wa falsafa (zaidi ya 20). Mkapa nanye hivyo hivyo. Mwingi naye hivyo hivyo, moja au mbili. Wote hawa hawajitukuza na kujiita Drs. Sijatahi kusikia Dr. Nyerere, au Dr. Mkapa, au Dr. Ali Hassan Mwinyi. Imekuaje kwa JK kujiita Dr. sawa na Dr. Bilal ambaye ameisotea PhD yake??? Pia wapo wanasiasa wengine kina mary nagu, kina mama lwakatare. sii vizuri kutuma elimu feki kama mtaji wa kisiasa.
Tafadhali ikulu na vyombo vya habari hacheni mara moja kumwita kikwete Dr pamoja na wanasiasa wengine, wakitaka waende darasani kama Dr. Magufuli, mnaharibu maana na dhamani halisi ya elimu. This is too dangerous for the young nation such as our
Why Do u think this is too dangerous, where is a danger Mkuu?
Hili ni swala la kitaifa. weka ukereketwa wako pembeni. tumia akili vizuri na tazama swala hili kwa utaifa zaidi. Ondoa mawazo ya ki ccm au ki CDM, ki CUF. Tazama swala hili kama msomi na mtu mzalendo. Kama rais na kiongozi wa nchi ktk jamii haifai kabisa kujiita Dr. wakati siyo. Tutamdharau sana sisi tuonajua maana ya Dr ni nini?? Kwa maana nyingine PhD holders wote wa tanzania tutamdharau maana anatumia siasa ili apate cheo ambao hastahili. Hii ni namna nyingine ya Ufisadi. Kutafuta heshima na dhamani kisiasa kwa kutumia kiwango cha elimu ambacho huna.
Mwambieni pia na Dr. Slaa
Nimepata habari za uhakika kabisa kwamba Dr.Slaa mbali n Phd yake ambayo wengi wanadhani ni fake pia ni daktari wa macho .Ndiyo alifanikisha kuwepo CCBRT pale Dar .Kulia na Slaa unapoteza muda wako shule yake imenyoka .
Jibuni swali. Anajiita au anaitwa?
Swali lako halina logic yoyote katika mazungumzo ya kawaida. Wewe ulishawahi sikia mbunge au hakimu anajiita ("mimi mheshimiwa hakimu Nyani ngabu au Mimi Mheshimiwa MP, Nyani ngabu"?. Kawaida watu ndio wanamwiita kama yeye wangejua wanakosea kumwita nangepiga marufuku asiitwe hivyo. Mbona Mkapa aliwahi pia marufuku asiitwe Mtukufu wakati wa utawala wake?.
Mantiki ipo sana ila wewe huioni. Kujiita si lazima ujiite kwa maneno ya sauti. Benjamin Mkapa alipoenda kutoa rambirambi kwenye daftari la rambirambi ubalozi wa Japan alisaini Ben Mkapa, raisi wa Tanzania '95-05. Vivyo hivyo, kama una ndugu mwenye PhD angalia jinsi anavyosaini correspondence zake.
Na umesoma chuo kikuu wewe? Siku ya kwanza darasani mwalimu anajitambulishaje?
Nyaningabu unanishangaza sana are serious?. Hiyo thread ya Mkapa kujiita rahisi wa Tanzania 95-05 ilijadiliwa na ilijibiwa vizuri sana. Mpaka alikuwa right kwani alionyesha Interval ya kipindi alichokuwa Rais na inaonyesha wazi kuwa alikoma kuwa Rais 2005. Ni sawa na kujiita former president of Tanzania. Sasa kwa nini Mkapa alivyokusign Kitabu pale ubalozi wa Japani hakuandika (Dr Ben Mpaka rais wa Tz 95-05).
Sasa huko Udaktari wa Kikwete tuiiteje? au ni a.k.a. Mimi naona ni ulimbukeni tu. Kwani yeye ndio wa kwanza kupewa. Kama angekuwa hajiiti angewapiga marufuku wasaidizi wake wasimwiite hivyo

Huu ni wendawazimu, kama alipewa hiyo tuzo baada ya kufanya usuluhishi si apewe cheo cha msuluhishi, au hata uhakimu, kwa nini udaktari wa heshima?
Yaweza ikawa alimtunuku alipewa ccd kwanza.
Si ndio hapo anadhani mtu anaweza akajiita tu kama wale waganga wa kienyeji .. jk Alipewa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dk.Harris Mule kutokana na mchango wake na jitihada zake za utatuzi wa migogoro kwa nchi za Afrika hasa mgogoro wa Kenya uliozuka baada ya uchaguzi.

Udaktari wa heshima mtu hujiita Dr., haipo duniani. Wewe ulishawahi kusikia Dr. Mandela, Dr. Nyerere, etc.....inabaki kuwa heshima tuu. Tuache siasa tanzania, tutaharibu nchi.
Anaitwa Mhe. Kanali Mstaafu, Dr. (Heshima - UDOM & Uturuki University) Jakaya Mrisho Kiwete.
Mantiki ipo sana ila wewe huioni. Kujiita si lazima ujiite kwa maneno ya sauti. Benjamin Mkapa alipoenda kutoa rambirambi kwenye daftari la rambirambi ubalozi wa Japan alisaini Ben Mkapa, raisi wa Tanzania '95-05. Vivyo hivyo, kama una ndugu mwenye PhD angalia jinsi anavyosaini correspondence zake.
Na umesoma chuo kikuu wewe? Siku ya kwanza darasani mwalimu anajitambulishaje?