nginda
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 744
- 82
kabisa
wamang'ati na wambulu ndio watu wa bara. Wako serious kweli; hata wakisema uongo wanakuwa serious. Hata wakilaghai wanakuwa serious. Mpaka watu wanawageuza miungu watu
wao wako serious tu
wanachakachua barua, bado wanakuwa serious.
Besides jk lives healthily, anajuwa afya ya kujinunisha inakuwaje.
muscles to smile, muscles to frown - wellsphere
smile vs frown
lazima ukumbatie kwani ndo wamekuweka huko ujifunze kuchakachua. Utakujakuwa meneja kampeni wa ccm kama kinana