JK anapotabasamu kwenye msiba wa Elvis Musiba!!!


lazima ukumbatie kwani ndo wamekuweka huko ujifunze kuchakachua. Utakujakuwa meneja kampeni wa ccm kama kinana
 
That is a big shame!wewe watu wako na msiba na wewe wacheka tu!aghrrrrrrr
 

May be frowning muscles haiko sawa smiling muscles takes control
 
Tujaribu kuwa makini sana tunapotaka kujadili jambo, sisi hatujui nature ya mazungumzo yaliyokua yanaongelewa so we can't judge the him. kama unataka kushangaa zaidi si mngemjadili yule aliye nyuma ya mama salma ktk picha far left katinga suti nyeusi amekenua meno yoooote.
Stop childish thinking pls, our Jamii forum motto is home of great thinkers! so pls try to think right, stop judging da ppl otherwise....:sad:
 
Huyo ci ndiyo yule mgombea aliyekuwa anaokoteza kura? anajisheua hapo ili kama vipi hata Ukuu wa wilaya apewe atakapotangaza kurudi ccm:blah:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…